Man's best friend [emoji29][emoji29]

Man's best friend [emoji29][emoji29]

Nkundwe Sr

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
6,302
Reaction score
9,812
Mbwa Wa Rais Bush akiwa pembeni ya jeneza lake dah [emoji29][emoji29]
Loyal Until the end[emoji29][emoji29][emoji29]
Screenshot_20181203-211442.jpg
 
Feed a dog for three days he will remember you for three years.
Feed a human for three years he will forget you for three days.

Mbwa ni viumbe wazuri na wa ajabu sana. Ndugu wote wa Bush wamemkimbia wanaona kageuka shetani/ Mzimu ila mbwa pekee bado anamuona marehemu ni wa pekee maana ndio alikuwa anamrisha.

Salute kwa kaka mbwa.
 
Kweli mbwa ni man's best friend nimempenda sana huyu
 
ingekuwa Africa wangesema msukule.
Hata wadhungu wengine wana amini kuwa part ya roho za bush iko ndani ya huyo mbwa!
Kwa shemeji yangu ilikuwa hivyo, lakini mbwa akakaa only two weeks naye akafa!
 
Feed a dog for three days he will remember you for three years.
Feed a human for three years he will forget you for three days.

Mbwa ni viumbe wazuri na wa ajabu sana. Ndugu wote wa Bush wamemkimbia wanaona kageuka shetani/ Mzimu ila mbwa pekee bado anamuona marehemu ni wa pekee maana ndio alikuwa anamrisha.

Salute kwa kaka mbwa.
Wachawi hao kina Bush
Tena my...... nisiseme mengi, jua tu wadhungu ni wachawi sana!
 
Back
Top Bottom