Paka ndio wazuri Zaidi walahi
Hahaaaa haa alizani hawezi kufa Sasa aamke siwanajifanya mwamba aamke sasaMbwa Wa Rais Bush akiwa pembeni ya jeneza lake dah [emoji29][emoji29]
Loyal Until the end[emoji29][emoji29][emoji29]View attachment 954844
Ngoja nlianze kufanya utafiti na namna ya kumtunzaPata mbwa mbegu nzuri kama hawa wa polisi utafurahi sana
Fanya hivyo, Tena ukitaka unaweza kumpeleka polisi wakampa mafunzo, walikuwa wanatoa bure sijui kwa sasa, ila hawa wetu wa asili unatakiwa umpeleke mara kwa mara wanadai baada ya miezi mitatu anasahau.Ngoja nlianze kufanya utafiti na namna ya kumtunza
Poa mkuu,nashukuruFanya hivyo, Tena ukitaka unaweza kumpeleka polisi wakampa mafunzo, walikuwa wanatoa bure sijui kwa sasa, ila hawa wetu wa asili unatakiwa umpeleke mara kwa mara wanadai baada ya miezi mitatu anasahau.
Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
Hata Mimi Nina mbwa wangu nikilala huwa analala mlangoni.Mbwa Wa Rais Bush akiwa pembeni ya jeneza lake dah [emoji29][emoji29]
Loyal Until the end[emoji29][emoji29][emoji29]View attachment 954844
PoleniYeah nikweli mkuu, tangu utoto hatuhawahi fuga mbwa
Bosi halafu rafiki yake wa kweliKafiwa na Boss wake Mbwa bhna wanajari sana
Mbwa naskia ni mzuri sana ukipata mbegu nzuri ukamlea vizuri hivi nimetamani sana kufuga mimiHata Mimi Nina mbwa wangu nikilala huwa analala mlangoni.
Nikichelewa kuamka anagonga mlango kwa miguu.
Nikisafiri hunisindikiza umbali mrefu tu kisha hunilaki na kurejea nyumbani.
Lakini kila siku lazima alale mlangoni kulinda nyumba.
Nikirudi hunilaki kwa bashasha sana
Mbwa naskia ni mzuri sana ukipata mbegu nzuri ukamlea vizuri hivi nimetamani sana kufuga mimi
Safi mkuu unamfundisha na kumfundisha au unawaleaje ww??Mkuu nilianza kufuga mbwa nikiwa na miaka 6 tu kwa hakika kila mbwa ninayefuga hutokea kunipenda sana na kuwa rafiki wa kweli.
Hivi sasa ninayemwingine mdogo anamiezi mitano sasa akinikosa atahaha kunitafuta mpaka anapiga na mikelele