manoah hajatulia!

Msiniulize kwa nini.
Erickb52 kuna siku ulifungua uzi wa kummwagia misifa manoah ungejua!

hujanisaidia kwa nini iwe manoah kuna uzi tatu na kama sio nne zote title ni manoah napata shida kidogo huu usuper star wa cc kaupataje? au ndo kijana kaenda analogia (kwa babu). samahani ni kwa uzuri tu!
 
Last edited by a moderator:
ummu kulthumu huu sio umaharufu kama unavyo sema, ila ni jinsi gani nimekua mchangiaji na ndio maana wana nijali na kunipenda kama mdogo wao na kama mtoto wao na kama wadogo zangu na kama kaka zangu. Jumapili Njema
hujanisaidia kwa nini iwe manoah kuna uzi tatu na kama sio nne zote title ni manoah napata shida kidogo huu usuper star wa cc kaupataje? au ndo kijana kaenda analogia (kwa babu). samahani ni kwa uzuri tu!
 
Last edited by a moderator:
hujanisaidia kwa nini iwe manoah kuna uzi tatu na kama sio nne zote title ni manoah napata shida kidogo huu usuper star wa cc kaupataje? au ndo kijana kaenda analogia (kwa babu). samahani ni kwa uzuri tu!

manoah anaongea utadhani kameza radio,yaani!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…