Manka: Dada Poa maarufu Dodoma Aliyetekwa na kutoonekana kwa miaka 3 sasa

Nusratt

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
1,707
Reaction score
4,192
Natumaini mko powa wanajukwaa hili la JF (JamiiAfrica)

Leo tarehe 05/05/2025 imetimia siku 1075 au miaka 3 kasoro tangu dada maarufu kwa jina la Manka (Sauda jina la kuzaliwa) apotee kwa kutekwa na watu wasiojulikana katika mazingira ya kutatanisha yeye pamoja na bwana wake aitwaye Paroko.

Fuatana nami hadi mwisho wa kisa hiki.

Ilikuwa ni siku ya Jumatano tarehe 26/05/2022 saa 4 asubuhi ndipo watu walipogundua Manka hayupo chumbani kwake.
Manka, dada maarufu aliyekuwa anajiuza mitaa ya Chako ni Chako huku akiwa amepanga chumba mitaa ya Chang'ombe Extension huku akiishi na bwana yake aliyejulikana kwa jina la Paroko.

Paroko, 'mchinjaji' wa pikipiki za wizi Dodoma alikuwa akishirikiana na vijana wa kihuni toka mitaa ya Hazina, Chang'ombe pamoja na Majengo katika kazi zake hizo za kihalifu.

Manka aliambiwa amkanye bwana wake Paroko kuhusu hiyo tabia ya wizi wa pikipi ila Manka aliishia kuwatukana watu na pia Paroko alitembeza mapanga kwa wote alioona wanamfatilia kwenye ishu zake.

Jinsi alivyopotea.
Siku ya Jumanne 25/05/2022 mchana ilikuja gari dogo jeupe ikiwa na wanaume 3 ikimuulizia Manka, wapangaji wenzake wakawajibu kuwa Manka hayupo, kisha gari ikaondoka.

Siku iliyofuata yaani Jumatano ya tarehe 26/05/2022 wapangaji wenzake na Manka waliamua kumpigia simu mama yake Manka aliyekuwa anaishi Nkuhungu wakimueleza kuwa usiku wa jana (Jumanne) kulitokea purukushani kwenye chumba cha mtoto wake Manka na mpaka sasa hawamuoni hivo aje haraka.

Mama mtu alichukua pikipiki mpaka Chang'ombe kwa mwanae maana alipata wasiwasi pia.

Mama Manka alipofika, yeye pamoja na wapangaji wenzake na Manka waliamua kwenda kwenye chumba cha Manka ila cha ajabu walikuta geti la mlangoni limerudishiwa tu ila halijalokiwa na mlango wa mbao wa ndani ni kama umevunjwa kitasa na uko wazi pia.

Walipoingia ndani walikuta vipisi viwili vya bangi kitandani, kibiriti pamoja na pakti moja ya sigara.

Walipoangalia upande wa kwenye jiko la gesi walikuta hotpot iliyokuwa na ugali ndani yake pamoja na mchuzi na samaki kwenye sufuria wakiwa wameharibika.

Na ukutani karibu na mlango wa kutokea nje kulikuwa na alama ya mkono wenye damu yaani ni kama kuburuzwa na damu au kwa namna hiyo.

Ikabidi wapige simu polisi, na polisi walipofika eneo la tukio na pia katika kuchukua maelezo ndipo wapangaji wakasema kuwa siku ya Jumanne ilikuja gari dogo jeupe mchana kumuulizia Manka na ilipomkosa ikaondoka.

Na siku hiyohiyo ya Jumanne saa 9 usiku ilikuja tena gari dogo ila jeusi na walishuka wanaume 4 mmoja akiwa kavaa 'kinyago' cha kufunika uso na kwenda moja kwa moja kwenye chumba cha Manka na walipogundua yupo ndani wale watu wakaanza kuvunja mlango polepole.
Waliendelea kusema kuwa wapangaji 2 ilibidi watoke nje ili kwenda kumsaidia Manka maana kulianza kusikika kelele za kuomba msaada toka kwa Manka na bwana ake Paroko, ila walipojaribu kusogea mlangoni kwa Manka waliambiwa na wale watu kuwa watawabeba na wao hvo warudi ndani haraka.
Hvo wapangaji wale wakaingia ndani kimya na kufunga milango.

Watu wale wakafanikiwa kumchukua Manka na bwana wake Paroko, wakawaingiza kwenye gari na kupotea nao jumla mpaka leo.

Maswali yakabaki kwa raia.
🔹️Je, wako wapi Manka na bwana ake Paroko? Wako hai au ndio hivo wameshamalizwa?

🔹️ Je, ujambazi wa Paroko ndio umesababisha kupotezwa kwao au kuna namna ingine?

🔹️ Au alilengwa mmoja aidha Manka au Paroko ila waliokuja waliamua kuwamaliza wote kwa kuwa watekaji walijulikana?

🔹️ Manka alikuwa na tabia ya kupeleka habari/ukuda wa baadhi ya askari 'information' kwa wakubwa zao bila kuogopa, je hii pia ilichangia kupotezwa?

🔹️ Manka alikuwa na ujasiri wa kuamka asubuhi na kwenda polisi kuwataja wauza bangi au unga wa mtaani kwao na hata kuwataja askari wanaopokea pesa za malaya au za wauza gongo Je hii nayo ndio sababu?

🔹️ Manka alikuwa anafika mpaka ofisi za kwa mkuu wa mkoa wa Dodoma au Central Police ili kuwachongea dadapoa wenzake kuwa wafungwe jela.

🔹️ Paroko alikuwa ni mkimya sana na mpole, ila ukiingia kwenye 18 zake jua umeisha.

Mpaka leo ni miaka takribani 3 si mwili wa Manka wala wa Paroko uliopatikana.
Ndugu wa pande zote wamefuatilia mpaka wameamua kunyoosha mikono juu na kumwachia Mungu.

Tujifunze kuishi vizuri na watu. Tusiwe ma-snich kwa namna moja ama ingine na pia kuacha tabia ya kuiba au kupora mali za watu. Hujui watu wamehangaika kiasi gani ili kupata hizo mali.

Hapo kuna mkanganyiko kwani haijulikani ni nani hasa kawateka kutokana na kuwatendea ubaya makundi 3.
Dadapoa wenzake, Askari, Wauza unga na bangi au aliokuwa anawaibia 'kazini'

Ogopa sana kumuharibia mtu ugali wake.

Manka ameacha watoto 2
Mmoja wa kiume yuko darasa la kwanza na mwingine wa kike yuko darasa la 7

Screenshot_20250502_202822_Facebook.jpg
Screenshot_20250502_202219_Facebook.jpg
Screenshot_20250502_201854_Facebook.jpg
Screenshot_20250502_202407_Facebook.jpg

Wabillahi Tawfiq
 
View attachment 3325357View attachment 3325359View attachment 3325361View attachment 3325362
Cc:
Harmful Monetary doctor BICHWA KOMWE - secretarybird na Smart911

Wabillahi Tawfiq
Sasa mbona hii picha ya mwisho namba ya simu imezibwa?
 
.". ila walipojaribu kusogea mlangoni kwa Manka waliambiwa na wale watu kuwa watawabeba na wao hvo warudi ndani haraka.
Hvo wapangaji wale wakaingia ndani kimya na kufunga milango."

==> Na hii ndiyo ile Tanzania!
 
Pole Sana familia ndugu na majirani .

Mimi pia nimejisikia uchungu Sana .

Dada poa wawe makini now day wanatumika Kama msosi WA nguruwe.

mzigo unapelekw geto .alafu unauuliza unakunywa nini ?

K vant "

Imeisha hiyo anapewa za kutosha .akizima Tu.

Wrong turn in action .

Kesho mabaki yanapelekewa nguruwe Kama msosi.
 
Natumaini mko powa wanajukwaa hili la JF (JamiiAfrica)

Leo tarehe 05/05/2025 imetimia siku 1075 au miaka 3 kasoro tangu dada maarufu kwa jina la Manka (Sauda jina la kuzaliwa) apotee kwa kutekwa na watu wasiojulikana katika mazingira ya kutatanisha yeye pamoja na bwana wake aitwaye Paroko.

Fuatana nami hadi mwisho wa kisa hiki.

Ilikuwa ni siku ya Jumatano tarehe 26/05/2022 saa 4 asubuhi ndipo watu walipogundua Manka hayupo chumbani kwake.
Manka, dada maarufu aliyekuwa anajiuza mitaa ya Chako ni Chako huku akiwa amepanga chumba mitaa ya Chang'ombe Extension huku akiishi na bwana yake aliyejulikana kwa jina la Paroko.

Paroko, 'mchinjaji' wa pikipiki za wizi Dodoma alikuwa akishirikiana na vijana wa kihuni toka mitaa ya Hazina, Chang'ombe pamoja na Majengo katika kazi zake hizo za kihalifu.

Manka aliambiwa amkanye bwana wake Paroko kuhusu hiyo tabia ya wizi wa pikipi ila Manka aliishia kuwatukana watu na pia Paroko alitembeza mapanga kwa wote alioona wanamfatilia kwenye ishu zake.

Jinsi alivyopotea.
Siku ya Jumanne 25/05/2022 mchana ilikuja gari dogo jeupe ikiwa na wanaume 3 ikimuulizia Manka, wapangaji wenzake wakawajibu kuwa Manka hayupo, kisha gari ikaondoka.

Siku iliyofuata yaani Jumatano ya tarehe 26/05/2022 wapangaji wenzake na Manka waliamua kumpigia simu mama yake Manka aliyekuwa anaishi Nkuhungu wakimueleza kuwa usiku wa jana (Jumanne) kulitokea purukushani kwenye chumba cha mtoto wake Manka na mpaka sasa hawamuoni hivo aje haraka.

Mama mtu alichukua pikipiki mpaka Chang'ombe kwa mwanae maana alipata wasiwasi pia.

Mama Manka alipofika, yeye pamoja na wapangaji wenzake na Manka waliamua kwenda kwenye chumba cha Manka ila cha ajabu walikuta geti la mlangoni limerudishiwa tu ila halijalokiwa na mlango wa mbao wa ndani ni kama umevunjwa kitasa na uko wazi pia.

Walipoingia ndani walikuta vipisi viwili vya bangi kitandani, kibiriti pamoja na pakti moja ya sigara.

Walipoangalia upande wa kwenye jiko la gesi walikuta hotpot iliyokuwa na ugali ndani yake pamoja na mchuzi na samaki kwenye sufuria wakiwa wameharibika.

Na ukutani karibu na mlango wa kutokea nje kulikuwa na alama ya mkono wenye damu yaani ni kama kuburuzwa na damu au kwa namna hiyo.

Ikabidi wapige simu polisi, na polisi walipofika eneo la tukio na pia katika kuchukua maelezo ndipo wapangaji wakasema kuwa siku ya Jumanne ilikuja gari dogo jeupe mchana kumuulizia Manka na ilipomkosa ikaondoka.

Na siku hiyohiyo ya Jumanne saa 9 usiku ilikuja tena gari dogo ila jeusi na walishuka wanaume 4 mmoja akiwa kavaa 'kinyago' cha kufunika uso na kwenda moja kwa moja kwenye chumba cha Manka na walipogundua yupo ndani wale watu wakaanza kuvunja mlango polepole.
Waliendelea kusema kuwa wapangaji 2 ilibidi watoke nje ili kwenda kumsaidia Manka maana kulianza kusikika kelele za kuomba msaada toka kwa Manka na bwana ake Paroko, ila walipojaribu kusogea mlangoni kwa Manka waliambiwa na wale watu kuwa watawabeba na wao hvo warudi ndani haraka.
Hvo wapangaji wale wakaingia ndani kimya na kufunga milango.

Watu wale wakafanikiwa kumchukua Manka na bwana wake Paroko, wakawaingiza kwenye gari na kupotea nao jumla mpaka leo.

Maswali yakabaki kwa raia.
🔹️Je, wako wapi Manka na bwana ake Paroko? Wako hai au ndio hivo wameshamalizwa?

🔹️ Je, ujambazi wa Paroko ndio umesababisha kupotezwa kwao au kuna namna ingine?

🔹️ Au alilengwa mmoja aidha Manka au Paroko ila waliokuja waliamua kuwamaliza wote kwa kuwa watekaji walijulikana?

🔹️ Manka alikuwa na tabia ya kupeleka habari/ukuda wa baadhi ya askari 'information' kwa wakubwa zao bila kuogopa, je hii pia ilichangia kupotezwa?

🔹️ Manka alikuwa na ujasiri wa kuamka asubuhi na kwenda polisi kuwataja wauza bangi au unga wa mtaani kwao na hata kuwataja askari wanaopokea pesa za malaya au za wauza gongo Je hii nayo ndio sababu?

🔹️ Manka alikuwa anafika mpaka ofisi za kwa mkuu wa mkoa wa Dodoma au Central Police ili kuwachongea dadapoa wenzake kuwa wafungwe jela.

🔹️ Paroko alikuwa ni mkimya sana na mpole, ila ukiingia kwenye 18 zake jua umeisha.

Mpaka leo ni miaka takribani 3 si mwili wa Manka wala wa Paroko uliopatikana.
Ndugu wa pande zote wamefuatilia mpaka wameamua kunyoosha mikono juu na kumwachia Mungu.

Tujifunze kuishi vizuri na watu. Tusiwe ma-snich kwa namna moja ama ingine na pia kuacha tabia ya kuiba au kupora mali za watu. Hujui watu wamehangaika kiasi gani ili kupata hizo mali.

Hapo kuna mkanganyiko kwani haijulikani ni nani hasa kawateka kutokana na kuwatendea ubaya makundi 3.
Dadapoa wenzake, Askari, Wauza unga na bangi au aliokuwa anawaibia 'kazini'

Ogopa sana kumuharibia mtu ugali wake.

Manka ameacha watoto 2
Mmoja wa kiume yuko darasa la kwanza na mwingine wa kike yuko darasa la 7

View attachment 3325357View attachment 3325359View attachment 3325361View attachment 3325362
Cc:
Harmful Monetary doctor BICHWA KOMWE - secretarybird na Smart911

Wabillahi Tawfiq
Inasemekana kwa Tanzania ukiwa na kazi chafu kama hizo za kununua mali za wizi na kuuza na ukiwa mtemi wa kutishia watu na jamii wanaokufuta ni walinzi wa raia na mali zao baada ya maonyo mengi kukufikia ukakaidi.
Mpaka leo pia hakuna taarifa ya vijana watano wa kiarabu wa familia moja waliokuwa wanafanya kazi kariakoo.
Tuwe Raia wema.
 
Back
Top Bottom