Manji V/S orijino komedi!

Ni mapito tu mkuu......wengine tunasema mitihani ya Mwenyezi Mungu!!!!Hata CDM walimkana Rais leo wamegonga naye chai Ikulu, mkono mchafu haukatwi unaoshwa!!!!

Mwenyezi Mungu amuafu Vengu..amen!!!
 
huku nako ndio kuchanganyikiwa kwa Mr President, hivi kweli ni jukumu la rais kutoa matibabu kwa mtu mmoja mmoja au kwa kuwa according to our standards hawa noa ni ma celebrities? si angewajulisha tu kitengo cha maafa ya taifa kisichokua na kazi yoyote ya kufanya maana hata majanga yanaishia kuchangiwa na wafanyabiashara na mabenki, michango kwa wahanga wa mafuriko, wa mabomu, sasa hawa sijui tutawaita wahanga wa Manji ama ukata. It serves them right maana vijana tunapenda sana kutumiwa, after all sasa hata huelewi wanafanya nini, si hawa wala wakina bambo wa kule kwa mengi, ukiuliza kisa utachoka wewe

Na huyo rais kwa nini hakumsaidia mzee Kipara na ameugua muda mrefu, kaomba msaada wee mpaka kajifia kwa umasikini wa kukosa huduma mzee wa watu. Kama ameweza kumpeleka Vengu India, kwa nini Mzee Upala ilishindikana kumsaidia? Siyo kama sijapenda alivyosaidiwa Vengu, ila rais ni wa wetu sote aoneshe upendo kwa wote, au kuna maslahi binafsi na Origino komedi.
 
  • Thanks
Reactions: tz1

Similar Discussions

Back
Top Bottom