Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,898
- 141,628
Inasemekana amekutwa na muhuri wa jeshi isivyo halali. Na pia vitambaa vya sare za jeshi. Mashtaka aliyofunguliwa ni uhujumu uchumi. Nadhani ana mengi ya kusema kama atabahatika kuendelea kuwepo. Je alikuwa na utaratibu wa kufanya hivyo kila mara? Vitambaa hivyo vilikuwa vikipelekwa wapi? Kazi haswa ya huo muhuri ni nini?
Maana sasa kuna shtaka la uhujumu uchumi na usalama wa taifa. Sasa kwenye usalama wa taifa sijui tatizo liko wapi, kwani hizo sare zilitakiwa kupelekwa kwa wanajeshi waasi ama kikundi chochote cha uasi?
Wafanye wafanyacho ila cha muhimu haki itendeke, msumeno wa sheria ukate kotekote. Yani hata kama kuna walioshirikiana naye na wako kwenye vyombo vya madaraka wabanwe. Unless rais aliyepo ana mpango wa kukaa madarakani maisha yake yote. Kwasababu huwezi kumkuta na makosa na kumuhukumu kama ameshirikiana na vigogo halafu ukawafumbia macho vigogo hao na hukumu ikawa ya haki.
Kwa upande mwingine pia, asiwe amebambikiwa. Lakini kama vinahusiana na ugaidi ama jitihada za uasi, basi hilo ni suala jingine kabisa.
Navosikia alimjibu kondakta .sasa kondakta kawa Dereva. BalaaHaya maneno alimwambia dereva au MAKONDAkta wake?
Hata mi namshangaa.na mapesa yote yale ingekuwa mimi ningehamisha familia kabisa.Hivi alikuwa bado yupo nchi hii?kusoma alama za nyakati ni kipaji kumbe?bas Sawa aendelee kuzisubiri kesi.
Mwenye mbwa ni nani?Inasemekana aliwahi kumjibu Dereva wa sasa kwamba hawezi kuongea na mbwa anaongea na mwenye mbwa. Sasa hatujui ndio analipia kauli zake sasa ama.laa
Inasemwa "anatuhumiwa".Atueleze sare za jeshi kazipata wap?
Kama ingekuwa hivyo badhite bado angekuwa ofisini?Sheria ni msumeno..
Hilo la kukutwa na sare za polisi na jw unalisemeaje mkuuVisasi na chuki
Nyani Ngabu umenena sawa kabisa na WaTZ tuna vichwa vilivyojaa maji hatusomi alama za nyakati.Duh!
Kama ni kweli basi atakuwa ni bonge la zumbukuku.
Hajui kuwa sasa kuna sheriff mpya hapa mjini?
Navosikia alimjibu kondakta .sasa kondakta kawa Dereva. Balaa
Manji si Diwani wa CCM? Mbona anapeta shida kama Mbowe? Hata hivyo Manji hatokaa amsahau RC wa Dar 2017. Alijidai kuzoza naye badala ya kufagia Nyumba yake.Sheria ni msumeno..
Inasemekana aliwahi kumjibu Dereva wa sasa kwamba hawezi kuongea na mbwa anaongea na mwenye mbwa. Sasa hatujui ndio analipia kauli zake sasa ama.laa
Jamaa anasafisha masaria ya mkwere na lowasa, ila sizani kama atayamaliza atastukia uchaguzi tu ushafika hivyo na kubakiwa na mbinu moja tu ya kupora ushindi ili aendelee kutawala.
Angekuwa kuwa ni mlalahoi ndiye aliyekamatwa na uniforms za jeshi bado mngeona kaonewa au kwa sababu ni tajiri ndio mnaona kaonewa?!
Tuache tabia ya kuona jela ni za maskini tu!!
Manji si Diwani wa CCM? Mbona anapeta shida kama Mbowe? Hata hivyo Manji hatokaa amsahau RC wa Dar 2017. Alijidai kuzoza naye badala ya kufagia Nyumba yake.