Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,169
- 48,451
LOWASAMwanasiasa mwanachama wa CCM na Diwani wa Kata ya Mbagala Yusuph Manji inawezekana ni Diwani pekee wa CCM ambaye anakumbana na misukosuko mingi sana katika siku za karibuni. Lakini watu kadhaa wanadai kwamba Manji anajua nini kinaendelea dhidi yake.
Kama nadharia kwamba Manji anajua kinachoendelea dhidi yake ni ya kweli, basi ni yeye mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kusema ukweli ni nini hasa kinachoendelea ili ajinasue kwenye mtego uliomnasa.
Yanga, Coco Beach, Quality Group of Companies,siasa ama ni nini hasa!
Mhhh!LOWASA
Inasemekana aliwahi kumjibu Dereva wa sasa kwamba hawezi kuongea na mbwa anaongea na mwenye mbwa. Sasa hatujui ndio analipia kauli zake sasa ama.laa
Khaaa!!LOWASA
Msumeno butu unawezaje kukata?Sheria ni msumeno..
Aliethibitika kutamka hayo maneno ni Justin Nyari pekee. Huyu labda km una data zaidiInasemekana aliwahi kumjibu Dereva wa sasa kwamba hawezi kuongea na mbwa anaongea na mwenye mbwa. Sasa hatujui ndio analipia kauli zake sasa ama.laa
kama ni hivyo basi hamna kesi yoyote hapo.Inasemekana aliwahi kumjibu Dereva wa sasa kwamba hawezi kuongea na mbwa anaongea na mwenye mbwa. Sasa hatujui ndio analipia kauli zake sasa ama.laa
Sawa, tuone kama utakata upande wa piliSheria ni msumeno..
Kuhujumu uchumi na kuhatarisha usalama wa taifa.Manji anatia huruma aisee.
Na alivyo sleki mayai vile....hahahaha.
Hivi kafanya kosa gani kwanza?
Nakubaliana na wewe