Huenda ukimya huu unatokana pia na Manji kutumia nguvu ya Mahakama kuzuia magazeti zaidi ya 10 yasimwandike kwa mazuri wala kwa mabaya!
yani wooooooooooooooooote wamehongeka ila wewe tu!
akili mali,tuzungumze yanayoingia akilini,ana fedha kiasi gani kuhonga magazeti yote hayo?!
ulikurupuka kwenye ndoto ghafla ndio ukaandika hii post?!
Du huyu Manji ni mbabe kiasi hicho mpaka magazeti yamshindwe? hata udaku, basi hii kitu noma maana hata JF mnamwogopa bora Zitto alivyombana na hawa YANGA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.