Manispaa ya Ubungo yaingia mkataba wa Tsh 6.2bn na TBA kujenga makao makuu yake

chuuma

JF-Expert Member
May 19, 2015
363
557
Leo 04 December 2018,Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kupitia *Mstahiki meya Boniface Jacob na Mkurugenzi Beatrice Dominic Kwai* , wameingia Mkataba wa Makubaliano ya Ujenzi wa Makao makuu yake na *Wakala wa Majengo ya Serikali Tanzania (TBA)* kupitia kwa Kaimu Meneja Wake wa TBA mkoa wa Dar es Salaam,Bw Edwin Geofrey

Manispaa imeingia Mkataba huo Na TBA Kujenga na kukabidhi Jengo hilo ndani ya Mwaka Mmoja,Jengo la Kisasa litakalo Kuwa na Ofisi 104,Na ya ghorofa yenye floor nne,Katika kiwanja chake chenye ukubwa wa Ekari nne eneo la Kwembe Luguruni.

IMETOLEWA Na
OFISI YA MSTAHIKI MEYA
MANISPAA YA UBUNGO
 
Attachments

  • IMG-20181204-WA0157.jpg
    IMG-20181204-WA0157.jpg
    59.9 KB · Views: 57
  • IMG-20181204-WA0158.jpg
    IMG-20181204-WA0158.jpg
    56.2 KB · Views: 57
  • IMG-20181204-WA0159.jpg
    IMG-20181204-WA0159.jpg
    58.1 KB · Views: 53
  • IMG-20181204-WA0161.jpg
    IMG-20181204-WA0161.jpg
    73.2 KB · Views: 57
  • IMG-20181204-WA0155.jpg
    IMG-20181204-WA0155.jpg
    44.9 KB · Views: 78
  • IMG-20181204-WA0156.jpg
    IMG-20181204-WA0156.jpg
    35.1 KB · Views: 83
Leo 04 December 2018,Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kupitia *Mstahiki meya Boniface Jacob na Mkurugenzi Beatrice Dominic Kwai* , wameingia Mkataba wa Makubaliano ya Ujenzi wa Makao makuu yake na *Wakala wa Majengo ya Serikali Tanzania (TBA)* kupitia kwa Kaimu Meneja Wake wa TBA mkoa wa Dar es Salaam,Bw Edwin Geofrey

Jengo la nyuma kwenye picha namba 10 ndilo lenye mvuto, hilo la mbele mjitafakari mbele ya safari mtaanza kukamatana mashati
 
Watume majengo ya nayo acha na Wizarani wakati wanahama dodoma.fedha hizo zielekezwe mahali pengine
 
HIVI GHARAMA(MAKADIRIO YA MIRADI) AMBAZO TBA WANATOA,WANAPEWA AU WANAKOKOTOA WENYEWE?
 
Leo 04 December 2018,Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kupitia *Mstahiki meya Boniface Jacob na Mkurugenzi Beatrice Dominic Kwai* , wameingia Mkataba wa Makubaliano ya Ujenzi wa Makao makuu yake na *Wakala wa Majengo ya Serikali Tanzania (TBA)* kupitia kwa Kaimu Meneja Wake wa TBA mkoa wa Dar es Salaam,Bw Edwin Geofrey

Manispaa imeingia Mkataba huo Na TBA Kujenga na kukabidhi Jengo hilo ndani ya Mwaka Mmoja,Jengo la Kisasa litakalo Kuwa na Ofisi 104,Na ya ghorofa yenye floor nne,Katika kiwanja chake chenye ukubwa wa Ekari nne eneo la Kwembe Luguruni.

IMETOLEWA Na
OFISI YA MSTAHIKI MEYA
MANISPAA YA UBUNGO
Huyu mkurigenzi wa Manispaa ya Ubungo hatali.ujinga wa kimagufulimafuli yeye anachapa kazi tu bila kujali Meya ni nani.

Hii ndio tanzania tunayotaka. Ubungo wako Juu sana, Jacob uko juu. Juzi mlikuwa na TCRA kuweka mitaa kidigitali leo mmekuja na mpango mwingine mzuri.

Achilia mbali ule mradi.wa kuchakata Takataka kiwa mbolea kwa ajili ya usafi wa manispaa wapumbavu wakakazana eti Mashine zile zilipiwe kodi.
 
Back
Top Bottom