Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,159
- 4,443
Hizo tafiti zimeweka fani mbalimbali za hao wasomi wa Moshi.
Watu wa Moshi wapo fasta katika kila eneo ndiyo maana ukitafuta hata takwimu za majambazi waweza kuta wanaongoza
Hizo tafiti zimeweka fani mbalimbali za hao wasomi wa Moshi.
Kahawa na kiti moto vinastawi vizuri? Ha ha ha ha ha.
4 your inf.so what!!!
Kahawa na kiti moto vinastawi vizuri? Ha ha ha ha ha.
Watu wa Moshi wapo fasta katika kila eneo ndiyo maana ukitafuta hata takwimu za majambazi waweza kuta wanaongoza
mkuu kuna wakati kulikuwa na move ya kutafuat sehemu ya kuhamia ikapelekea vijana wengi wakakimbilia Tanga hasa Handeni ila ni wachache sana walioweza kuhimili haya mazingira wengine waliishia kukimbia ila nimefanya survey kuna sehemu huku mkuranga na baadhi ya sehemu za Kondoa mpakani na babati kuna mazingira kama ya moshi hivi so ni vyema wenzangu tukahamia huko.karibu huku kwetu mazima/kwa mathias kibaha kuna mathari mazuri na pia ardhi ni nzuri sana na ina rutuba heka one million
mkuu hii ishu ilimpoteza mdogo wake rafiki yangu hivihivi.issue ya Kilindi-Tanga ilikuwa complex vijana wengi waliwatuma wazee wao wakawashikie mashamba matokeo yake ule ugonjwa unaoenezwa na mbu jike ukawasumbua kweli kweli! hata hivyo walioweza kusurvive wanaendelea vizuri na kilimo cha mahindi. Na wapo vijana ninaowafahamu ambao wamehamia huko kabisa.
Recent studies indicate that moshi urban district has the highest literacy rate for person over 15 years of age comapared to any of the other 128 districts in Tanzania.Therefore, Moshi will be the last place where census exersize is likely to run into problems.It is a town where every person is educated.
Source: Daily News - 6/8/2012
Mtoa mada naye katuchanganya mara tunaona ni Mkuu wa Mkoa L. Gama ndo kasema Moshi itakuwa sehemu ya mwisho katika zoezi la Sensa na huenda ikaingia ktk matatizo kwani kila mtu hapo mjini anajifanya kujua (msomi) na Moshi mjini cha waliosoma /elimika kwa walio zaidi ya miaka 15 kulinganisha na wilaya 128una akili sana jamaa angu, unaonaje 2015 ukajitosa kwenye kinyanganyiro cha MB? hata hivyo
Mr Gama did not mince words in describing how this year's census was for the first time experiencing controversies as different groups were coming up with complications likely to stifle the efforts and split the nation on basis of religious, political or social factions. But Moshi will be the last place where the Census exercise is likely to run into problems. It is a town where every person is 'educated.' Recent studies indicate that Moshi urban district has the highest literacy rate for persons over 15 years of age when compared to any of the 128 other districts in Tanzania
mimi nimojawapo ya wafanyaji watafiti,kwa moshi inaongoza kwakuwa na wasomi wengi ukilinganisha na mikoa yote niliyofanyia tafiti zangu.Kule ilimu imepewa kipaumbele sana kuliko mambo mengine yoyote,na kwasasavi ktk nyumba yenye watu 4 wenye umri kati ya miaka 16-30 wa wili mpaka watatu wamepata elimu ya secondary.
unachokisema ni kweli na hata ukitaka kuagalia moshi ndiko sehem ambayp hadi miaka ya 1990 kila eneo lilikuwa a shule za sekondari ambazo pia zilikuwa zina somesha idadi kubwa ya watoto wa maeneo hayo. mfano machame kulikuwa na machame girls na lyamungo, kibosho kuna weruwru na umbwe rombo kulikuwa na mkuu sekondari marangu kuna ashira girls same same boys bado za seminary kama maua, na uru seminary na st joseph. bado uje uweke za makanisa kama kibosho girls, kiraeni, kolila, uroki, masama girls, kibosho nsoo na zile za watukutu kama kilimanjaro boys sijui kama ipo manake khaa! na kibohehe ama st margeth.
wengi wa wanafunzi kwenye hii shule walikuwa ni wachagga ishu ni kwamba siku hizi mbona usomi wao hauonekani? wamekuwa wabinafsi kiasi kwamba bora wasingesoma kabisa kijulikane. wengi wa hawa wameishia kuwa wafanya biashara tu na elimu yao imekomea sana form 4 kuendelea vyuoni siwaon ama wapo bado?
sasa inachukua wavulana kwa advanced school tu combination zote na vijana siyo wakorofi tena , si unajua vurugu zilikuwa zinaletwa na O-Level? wamekuwa kama kuku wa kisasa maana hata Kiraeni girls hawawezi kwenda tena usiku!
sijackia watoto wa kazi wakitolewa moshi kuja kufanya kazi dar bali nasikika wanatoka kule kwenye kilima kinachoua sana baada ya mikumi......................Infact Moshi kila kata ina shule mbili zasecondary ni ni vigumu kumkuta mtu hajampeleka mtot wake shule.Tatizo sas linakuwa ni ardhi.Nitafanya lobbying na watu angalau tuweze kuwahamisha baadhi wa watu tuwapeleke lindi mtwara pwani,rukwa ili waache kugombania ardhi
sijackia watoto wa kazi wakitolewa moshi kuja kufanya kazi dar bali nasikika wanatoka kule kwenye kilima kinachoua sana baada ya mikumi......................Infact Moshi kila kata ina shule mbili zasecondary ni ni vigumu kumkuta mtu hajampeleka mtot wake shule.Tatizo sas linakuwa ni ardhi.Nitafanya lobbying na watu angalau tuweze kuwahamisha baadhi wa watu tuwapeleke lindi mtwara pwani,rukwa ili waache kugombania ardhi
Nina mahouse girl 2;wote nimewatoa Moshi.1.Rombo,2 kibosho.
Nina mahouse girl 2;wote nimewatoa Moshi.1.Rombo,2 kibosho.