Dharau kwa mkoa wa Singida zinaenda kuisha kufuatia dalili za kugundulika kwa mafuta

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,064
49,751
Nawakumbusha tuu kwamba Tanzania hii hakuna Mkoa maskini.

Kwa.mujibu wa Wizara ya Madini ni Asilimia 17% tuu ya eneo linalokisiwa kuwa na Madini limefanyiwa survey hivyo basi blonde la Wembere huko Singida linaenda kuleta heshima Kwa Mkoa huo uliodharaulika kama Mkoa Maskini Tanzania ila wenye watu wenye mdomo sana.

----

THE project to collect 2D seismic data in the Eyasi Wembere Basin has been completed as experts express their optimism that the exploration will identify and classify areas with potential indicators of the presence of oil in the surveyed areas.

The 2D seismic data acquisition involves sending sound waves into the ground, which then bounce back with information that is later processed and interpreted to understand the rock formations in the area and confirm indicators of oil existence.

The development comes after officials from the Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) visited Eyasi Wembere area in Singida Region where the project has been implemented.

Speaking to the regulator’s officials, Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) geophysicist Sindi Maduhu said on Tuesday that seismic data acquisition was conducted in the area within six districts across five regions, namely Singida, Arusha, Tabora, Shinyanga and Simiyu.

“We are optimistic that this exploration will help us identify areas with potential signs of oil and natural gas presence. If we discover these indicators and confirm the presence of these resources, it will mark the crucial phase of starting to drill production wells,” said the geophysicist who doubles as project manager.

Briefing on the history of exploration at the Eyasi Wembere Basin, Mr Maduhu said the study began in 2015 by collecting geophysical data to determine the size of the basin and examine the depth of rock layers in the area.

The Eyasi Wembere area covers 10,630 square kilometres and the research aimed to study the type and depth of rocks to determine the potential presence of oil or natural gas in the region.

The acquisition of 2D seismic data officially commenced in the area in July, this year.

Daily News
Pia soma
 
Nambie mahali pamoja Tanzania walipogundua mafuta na wanachimba?
 
Ujinga tu,issue sio kumiliki mali,issue ni matumizi ya mali,
D.R.C ndio nchi inaongoza duniani kwa kua na reserve kubwa ya madini ya aina yeyote,lakini inazidiwa uchumi mara 100 na Palestina
 
Tanzania sio DRC wewe kiazi
 
Kwa.mujibu wa Wizara ya Madini ni Asilimia 17% tuu ya eneo linalokisiwa kuwa na Madini limefanyiwa survey hivyo basi blonde la Wembere huko Singida linaenda kuleta heshima Kwa Mkoa huo uliodharaulika kama Mkoa Maskini Tanzania ila wenye watu wenye mdomo sana......

Nimebaki kucheka kwa aina ya mwandiko uliotumia hapa🤪😅😂
 
Viongozi wezi wanaliibia taifa na kunifaisha familia zao huu ni kama mradi mwingine tu wa ipigaji kwao.

Nothing to benefit us.

Kikundi cha wezi kimejilimbilizia madaraka hakitaki kuyaachia.
 
Kulikogunduliwa madini kumefanyika nini cha maana
Una hoja ya msingi sana.

Hatukutakiwa kugundua chochote cha thamani katika kipindi hiki cha utawala wa kifisadi.

Hata mafuta yakigundulika yenye ujazo wa kiasi gani hayatalisaidia taifa zaidi ya vibindo vya mafisadi walio ndani ya makoti ya uongozi wa nchi.

Kwani tangia gesi igunduliwe ni miaka mingapi imepita?

Je imelisaidia nini taifa?

Je tunaweza kujipiga mbele ya kifua na kujigamba kwa shauku kuwa..." sisi tuna gesi buana"...

Je gesi hiyo iliyogunduliwa na kuendelea kuchimbwa ndani ya ardhi yetu ni ya kwetu?
 
Singida is rich. Sunflower oil is not fully exploited, Shanta Gold mine is doing well, strategic located with trunk road junctions. Wind sourced electricity sijui iliishia wapi?
tuwaulize akina victor mwambalasa na mwakyembe ule mpango wao wa umeme wa upepo huko singida uliishia wapi? Sasa kama mafuta yamegundulika wembere, chapuchapu yaanze kuchimbwa, sio mpaka miaka mingi ipite ndio wachimbe. Kama eneo la wembere yapo basi hata wilaya ya igunga mkoani tabora yatakuwepo kwa kuwa hilo eneo liko karibu sana na mpaka wa singida na tabora
 
ugunduzi wowote kwa nchi zetu za kiafrika ni laana na sio neema hasa nchi amabzo ufisadi na wizi imekuwa sifa kwa wanasiasa,sehemu nyingi hata tanzania hii hii ,nenda nyamongo,kahama,shinyanga nini wananchi wanapata kama sio kansa kufukuzwa kwenye maeneo yao kwa fidia kidogo huku viongozi wa idara husika wakijineemesha
 
Back
Top Bottom