Manispaa ya Moshi yaongoza kuwa na wasomi wengi Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Manispaa ya Moshi yaongoza kuwa na wasomi wengi Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makupa, Aug 7, 2012.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Recent studies indicate that moshi urban district has the highest literacy rate for person over 15 years of age comapared to any of the other 128 districts in Tanzania.Therefore, Moshi will be the last place where census exersize is likely to run into problems.It is a town where every person is educated.
  Source: Daily News - 6/8/2012
   
 2. T

  Twigwe Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  so what!!!
   
 3. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hizi tafiti mbona zinatuchanganya. Kuna utafiti mwingine sikumbuki ulifanywa na shirika gani but it is about two months ago walitoa results, wao waliosema hivi about 60% ya wanawake wa Moshi hawajui kusoma na kuandika.

  I can remember nikamsikia mbunge Lucy Owenya na MB yule CDM aliyekuwa manager wa keys Hotel (nimemsahau jina), katika mchango wa ofisi ya waziri mkuu waki quote hiyo statistics ya 60% illiteracy rate in women of Moshi district.
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Ofcourse Moshi inawasomi wengi. Swala la elimu halina masihara.
   
 5. M

  Makupa JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  A step towards emancipation from mental slavery
   
 6. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,768
  Likes Received: 6,098
  Trophy Points: 280
  Kama hii taarifa ina ukweli, nani wa kupongezwa? Chama cha Mapinduzi - chama dola na sera zake bora za elimu? Au juhudi binafsi za watu wa Moshi? Au ni taasisi mbali mbali zisizo za kiserikali kama za dini kwa michango na juhudi zao? Au ni vyama vya upinzani ambavyo vimeongoza Moshi kwa mihula kadhaa sasa? Na je, ni kwanini Moshi? Kinachoshindikana maeneo mengine ya nchi yetu ni nini?
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Hizo tafiti zimeweka fani mbalimbali za hao wasomi wa Moshi.
   
 8. M

  Makupa JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Yote haya yamewezekana chini ya uongozi wa serikali ya ccm na huitaji shahada kuelewa hilo
   
 9. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ndiyo maana magamba wanaangukia pua chaguzi nyingi Moshi!!! Kwani Mtaji wa CCM ni Ujinga wa wabongo! TAFAKARI kwa kuangalia matokeo ya kila jimbo CCM wanongoza vijijini! Kisha chukua hatua!
   
 10. M

  Makupa JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ni vizuri basi kama wangetumia wasomi kutoka mtwara ili kuondoa upendeleo mkuu
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu naona unakurupuka kama Gamba. Mleta Mada kasoma kwenye gazeti kwahiyo mtafute mhariri wa daily News umwambie huo upambaf wako wa "so what!!!"
   
 12. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Tafiti za Gamba mwenzenu wa Redet Dr Bana naona analeta ukaskazini na yeye kwi! kwi! kwi! kwi! teh! teh! teh!
   
 13. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,768
  Likes Received: 6,098
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo serikali ya CCM iko Moshi tu? Kwa nini isiwe Lindi, Mtwara, Dodoma, Pemba na kwingineko? Naomba ufafanuzi.
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Declare interest kama wewe ni Andrew hapo ndio nitaamini.
   
 15. k

  kitero JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nimojawapo ya wafanyaji watafiti,kwa moshi inaongoza kwakuwa na wasomi wengi ukilinganisha na mikoa yote niliyofanyia tafiti zangu.Kule ilimu imepewa kipaumbele sana kuliko mambo mengine yoyote,na kwasasavi ktk nyumba yenye watu 4 wenye umri kati ya miaka 16-30 wa wili mpaka watatu wamepata elimu ya secondary.
   
 16. m

  mob JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  sijackia watoto wa kazi wakitolewa moshi kuja kufanya kazi dar bali nasikika wanatoka kule kwenye kilima kinachoua sana baada ya mikumi......................Infact Moshi kila kata ina shule mbili zasecondary ni ni vigumu kumkuta mtu hajampeleka mtot wake shule.Tatizo sas linakuwa ni ardhi.Nitafanya lobbying na watu angalau tuweze kuwahamisha baadhi wa watu tuwapeleke lindi mtwara pwani,rukwa ili waache kugombania ardhi
   
 17. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 848
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  una akili sana jamaa angu, unaonaje 2015 ukajitosa kwenye kinyanganyiro cha MB? hata hivyo tatizo sio kwenye RED tu bali hata viwanda na taasisi za elimu ya juu bado ni issue kulingana na mahitaji.

  Mr Gama did not mince words in describing how this year's census was for the first time experiencing controversies as different groups were coming up with complications likely to stifle the efforts and split the nation on basis of religious, political or social factions. But Moshi will be the last place where the Census exercise is likely to run into problems. It is a town where every person is 'educated.' Recent studies indicate that Moshi urban district has the highest literacy rate for persons over 15 years of age when compared to any of the 128 other districts in Tanzania
   
 18. m

  mob JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  mkuu kuna wakati kulikuwa na move ya kutafuat sehemu ya kuhamia ikapelekea vijana wengi wakakimbilia Tanga hasa Handeni ila ni wachache sana walioweza kuhimili haya mazingira wengine waliishia kukimbia ila nimefanya survey kuna sehemu huku mkuranga na baadhi ya sehemu za Kondoa mpakani na babati kuna mazingira kama ya moshi hivi so ni vyema wenzangu tukahamia huko.karibu huku kwetu mazima/kwa mathias kibaha kuna mathari mazuri na pia ardhi ni nzuri sana na ina rutuba heka one million
   
 19. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,768
  Likes Received: 6,098
  Trophy Points: 280

  Hapana Mkuu; watoto wa kazi kutoka Moshi wapo ila mzazi anakukabidhi mwanae kwa masharti maalum. Kwanza hakuna ku-accummulate mshahara; lazima alipwe on-time; pili ukikaa naye kwa mwaka mmoja lazima umtafutie "training" fulani ikizidi miaka mitatu ni lazima umpeleke sekondary. Pia ni lazima apate likizo yake ya mwaka kama kawaida hasa mwisho wa mwaka akasalimie kwao. Nimesomesha wawili kwa utaratibu huu.
   
 20. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,768
  Likes Received: 6,098
  Trophy Points: 280
  Kahawa na kiti moto vinastawi vizuri? Ha ha ha ha ha.
   
Loading...