DOKEZO Manispaa ya Ilemela imeoza sana, Mkurugenzi awajibike

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Imeoza kwa sababu:

1. Mkurugenzi hana spirit ya Uongozi ndani, japo amekaa sana Tamisemi Kama bunch officer hivyo anashindwa kuwasimamia wasaidizi wake

2.Mkuu wa Idara ya Utumishi (MHRO) ana jeuri na kiburi sana kiasi kwamba haoni shida kumkolomea kila mtu/ mtumishi kwa sababu anajua Mkurugenzi hamfanyi kitu

3. Rushwa ya Ngono ni jambo la kawaida sana iIemela, malalamiko ya watumishi na Raia ni mengi sana ndio maana hata OFISI YA Mkurugenzi inalindwa na JWTZ kuogopa hasira za Raia.

D9 Nchi ikikombolewa, tumalizie na Hawa wateule Bogus
 
Ukiwa chawa na kusifia sifia unapewa uongozi bila kujali uwezo wako maana hata wateuaji nao uwezo ni mdogo na hayo ndio matokeo yake, ndio maana raia wanataka katiba mpya.
 
Back
Top Bottom