marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,119
- 1,960
Kmaamuzi ya TFF kulilata jina la Mwenyekiti wa wanachama na mgombea wa nafasi hiyo uchaguzi ujao ni dhahiri kabisa kuna ujanjaujanja pale unaendelea ambao wana jua kabisa Ngungu hawezi kuukubari
Njia pekee ni kumkata kwa kuleta vijisababu vya hapa na pale
Hivyo wapenzi na wadau wa soka nchini hasa washabiki wa simba sports club tunaomba Mangungu akate rufaa ili arudi kwenye kinyang'anyiro
na laziamatashinda kwababu tuna mpenda