Mangula: nchi ya chama Kimoja cha Siasa

Mangula: nchi ya chama Kimoja cha Siasa

Ndo uwezo wake wa kufkr umefikia hapo,nasema ccm haina watu wa kuisemea
 
Mtu wanaccm waliyedai ni murobaini wa matatizo yao ndani ya chama imedhihirika kuwa ni garasa pengine kutokana na uzee, mazingira au kukosa kumbukumbu baada ya kuwa nje ya system zaidi ya miaka mitano kwa kudai ni Nchi ya chama kimoja cha siasa hivyo kuomba kutekeleza ilani zake za ccm.Kwa kauli na matendo ni dhahiri kuwa Mangula siyo tena asset kwa ccm bali ni big liability na pengine ni kama amepata sehemu ya kupumzikia tofauti na alivyokuwa kule njombe akilima viazi mbatata.Gazeti la Habari Leo bila hata kuhariri au kutokutjua athari ya kauli ya Mzee mstaafu Mangula wameripoti hivyo kuwa taifa letu ni la chama kimoja je akili zao waliweka rehani au chooni.?HabariLeo 21/2013
Ndugu yangu kwani habari leo na uhuru yanatofauti gani?,ni baba na mama mmoja,whatever spoken by CCM,ni final ata kama kina athari wao hawana muda wa kuhariri.
 
Ni mzuri wa behind the scene politics. Hata hivyo wasiwasi wangu ni mawazo ya 'chama kimoja' anaweza kuwa anaishni in the past.
 
Back
Top Bottom