TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,599
- 23,886
Makamu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM (bara) ndg. Philip Mangula amezindua kitabu kilichobeba dhima kubwa yenye kubeba slogan ya Rais wa Tanzania ndg John Pombe Magufuli ya kutumbua majipu.
Akizungumza na waandishi wa habari, amethubutu kusema kila anachokifanya Rais kina mkono wa chama.Vilevile ameunga mkono utendaji kazi wa Rais ikiwa ni moja ya nafasi ambayo wakati wa kampeni alikuwa akitekeleza yale yaliyokuwa kwenye makabrasha.