Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,327
Duuuh!Shost yangu kajifungua watoto mapacha, wakike na wa kiume.
Wanafamilia wamekaa pamoja na kuwapa watoto hao majina.
Msichana ameitwa Mange na Mvulana anaitwa Kimambi.
Hongera zake kwa kupata watoto mapacha

