Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,111
Kwani Mange na Kimambi hayafai?heri angewaita hata treni na mwendokasi
Kwani Mange na Kimambi hayafai?heri angewaita hata treni na mwendokasi
Chapatti. na juicehahahaahaahah, chakula kipi unapendelea haswaaa!!!!
Haaa mtani kumbe cha chugga unatumiaga sometimes😀😀😀😀😀😀 mtani nilivuta bangi kidogo wakati na post hiyo hahahahahha ni jokes tu
hahahahahahahahWaache utani sasa, wakue haraka watuletee nyuzi za maana kwa nyayo za kubwa lao
yanafaaKwani Mange na Kimambi hayafai?
hahahahhahaAkili ndogo ya huyo mzazi
🙂🙂Kuna familia hewa sana nikiolewa kwa wajinga hivyo nafunga kizazi nisizae watoto wenye laana na kizazi chenye laana.
Waache kuwachagulia watoto majina kwa nia njema wachague kwa sababu ya matusi
hahahahahKuna familia hewa sana nikiolewa kwa wajinga hivyo nafunga kizazi nisizae watoto wenye laana na kizazi chenye laana.
Waache kuwachagulia watoto majina kwa nia njema wachague kwa sababu ya matusi
Hahahahaheri angewaita hata treni na mwendokasi