Hukumbuki Shekhe alimpa Mwaka Mmoja Tu atakuwa Amepotea ..Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata
Never underestimate the power of stupid people in large groups.Eti ndio huyu angenishawishi niandamane hahah,thubutuuuuu
Hao wote mnaowasema including huyo Diamond wenu na Zari wanavuna wanachopanda. Vitendo viovu wanavyotenda kwenye jamii ni vibaya na vinaharibu zaidi ya matusi wanayotukanwa.Sasahivi naona kakomaa kumtukana Zari kawa Kama kichaa mpaka anajirecodi videos. Mtu mzima huwazi kusa obsessed na maisha ya mtu vile
Naona nyumbu mmeanza kuelewa huyo mwanamke hamnazo!! Maana ndo ilikuwa source yenu ya kila kitu. Da mange da mange, tulieni hivyohivyoHuyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata
Vitendo vibaya? unadhani Kuna mtu ambae anafanya Kila kitu sawa kwenye jamiiHao wote mnaowasema including huyo Diamond wenu na Zari wanavuna wanachopanda. Vitendo viovu wanavyotenda kwenye jamii ni vibaya na vinaharibu zaidi ya matusi wanayotukanwa.
Mazee mbona unajigonga gonga? Sasa kama unajua kabisa hakuna mtu anayefanya kila kitu sahihi kwenye jamii kwanini unamlaumu Mange? Si na yeye anafuata hiyo hiyo principle yako?Vitendo vibaya? unadhani Kuna mtu ambae anafanya Kila kitu sawa kwenye jamii
Unatetea ujinga kwaiyo vile anatukana ndo inasaidia nini
Yeye mbona hua anapangia wenzake?Jaman mwacheni mtu aishi maisha yake, mbona mnampangia maisha mtu?
Kwani hukumbuki Shehe wa Dar alivyosema baada ya huyo Mange kimavi kumtukana? Alisema atapata cha mtema kuni na sasa ameanza kukipata!Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata