Mange Kimambi yupo obsessed na Diamond na familia yake kwa ujumla

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata
 
Mara nyingi mwanamke akikutukana mwanaume na kupenda kufuatilia maisha yako bila sababu ya msingi ujue anakukubali sana. Saikolojia za hawa viumbe iko kinyume kabisa na sisi: Kiufupi Mange anamkubali sana Diamond lakini ndiyo hivyo hawezi kumpata.
 
Mkuu ukiamua kujitengenezea maadui wengi unakuwa kama umetengwa fulani hvi..kiufupi huyo bint anakosa kitu ambacho wanadamu wote tunakihtaji..huruma , upendo na kuthaminiwa..anajihsi mpweke sana...kibaya zaidi anaona hawez rudisha utu wa kuthaminiwa kama zaman...ndo matokeo yake hayo...anajarbu kupambana vita asiyoiweza
 
Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata
Hukumbuki Shekhe alimpa Mwaka Mmoja Tu atakuwa Amepotea ..

Ndo maana Yake Hii sasa
 
Eti ndio huyu angenishawishi niandamane hahah,thubutuuuuu
Never underestimate the power of stupid people in large groups.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~George Carlin~~~~~~~~~~~~~

Tena hawa ndiyo wabaya sana kwasababu wanakuwa na mashabiki wengi wasiokuwa na kichwa wala miguu. Kule Uchina aliyemrudisha Mao Zedong madarakani mwaka 1966 kipindi cha The Curtural Revolution alikuwa ni mke wake Jiang Qing aliyekuwa mwigizaji wa filamu. Binafsi huwaga siwapuuzi watu wa hivi kwasababu they are reckless and volatile.
 
Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata
Naona nyumbu mmeanza kuelewa huyo mwanamke hamnazo!! Maana ndo ilikuwa source yenu ya kila kitu. Da mange da mange, tulieni hivyohivyo
 
Vitendo vibaya? unadhani Kuna mtu ambae anafanya Kila kitu sawa kwenye jamii
Unatetea ujinga kwaiyo vile anatukana ndo inasaidia nini
Mazee mbona unajigonga gonga? Sasa kama unajua kabisa hakuna mtu anayefanya kila kitu sahihi kwenye jamii kwanini unamlaumu Mange? Si na yeye anafuata hiyo hiyo principle yako?
 
Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata
Kwani hukumbuki Shehe wa Dar alivyosema baada ya huyo Mange kimavi kumtukana? Alisema atapata cha mtema kuni na sasa ameanza kukipata!
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom