Naona kibaraka wa Mange Kitambi ameikimbia thread yake, huu ushuzi wao wawe wanaishia huko huko kwenye viblog vyao uchwara.
Shost wa mama yako labda,mimi sina shost.Kama ana mvuto kwa mmewe si ndo inavyotakiwa?pilipili usiyoila yakuwashia nini.mimi wote Linda na Mange nawaona sawa tuFuta mipovu kwanza naona unambwela mbwela tu, ndio mkome kutafuta Free Promo hapa JF wakati huyo shosti wenu ni ushuzi mtupu na wala hana mvuto labda kwa huyo Mzungu wake ambaye kwake 0713 ndio muhimu zaidi.
This is stupid,kwani akiwa na milonjo ndo hatembei?hivi mtu ana miguu ngoja siku moja ukatike hiyo miguu yako ndo utajua umuhimu wa chelewa.kWA NINI MNAINANGA MIGUU YA MTU AMBAYE HAKUJIUMBA?
Mie nashangaa sana Wabongo utasikia wakisema oooh kuvaa bikini ni mambo ya Western hahahaha huuu ni ushamba uliopitilia i hate to hear this bullshiit,Hivi nyie nani kawaloga kumbukeni hizi nguo zote zilitoka huko huko West so hapa Bongo wakati huo walikuwa hawavai nguo so tungesema kuvaa Bikini ndio utamaduni wetu,watu enzi hizo walikuwa wanavaa majani na wanaficha pale mbele tu na kwa wanawake walikuwa wanafanya hivyo hivyo sema wao waliongeza kufunika vifua vyao so what difference kati ya majani yale na bikini za leo au za zamani hizo walizokuwa wakivaa wazungu hao vipi bora???Acheni mambo ya ajabu ajabu mara utasikia huu si utamaduni wa Kibongo so utamaduni wa kibongo ni kumbukizana ukimwi na rushwa au???
wEKA NA WEWE PICHA YAKO TUKUONE,
Anapendeza,katoto kake nakapenda
Kwa hiyo unakubali kuwa kujisitiri ni utamaduni wetu au sio, ndo maana tuliona bora kufunika na majani kuliko kukaa uchi kabisa ukizingatia pia hatukuweza kutengeneza majani ya kufunika mwili mzima kutokana na uwezo mdogo katika ubunifu.
Baada ya wazungu kutuletea nguo tuliacha kukaa uchi. Ndio maana hata wewe pamoja na kujishaua kwakp hujaleta picha zako za bikini mtandaoni. Na ukumbuke pia kuwa issue hapa sio tu kwamba ni kinyume na maadili ya kitanzania bali ni kiafrika generally.
Kwa kuhitimisha nasema huu ni utamaduni wa kizungu kwa sababu wanaweza kukaa familia nzima ndani ya bikini na hakuna kushangaana, kwenu hamuwezi unless mnaishi mbele... hawa kina mange wanafogi tu.
Mie nashangaa sana Wabongo utasikia wakisema oooh kuvaa bikini ni mambo ya Western hahahaha huuu ni ushamba uliopitilia i hate to hear this bullshiit,Hivi nyie nani kawaloga kumbukeni hizi nguo zote zilitoka huko huko West so hapa Bongo wakati huo walikuwa hawavai nguo so tungesema kuvaa Bikini ndio utamaduni wetu,watu enzi hizo walikuwa wanavaa majani na wanaficha pale mbele tu na kwa wanawake walikuwa wanafanya hivyo hivyo sema wao waliongeza kufunika vifua vyao so what difference kati ya majani yale na bikini za leo au za zamani hizo walizokuwa wakivaa wazungu hao vipi bora???Acheni mambo ya ajabu ajabu mara utasikia huu si utamaduni wa Kibongo so utamaduni wa kibongo ni kumbukizana ukimwi na rushwa au???
Shost wa mama yako labda,mimi sina shost.Kama ana mvuto kwa mmewe si ndo inavyotakiwa?pilipili usiyoila yakuwashia nini.mimi wote Linda na Mange nawaona sawa tu
Kwa jinsi unavyotokwa na mapovu kwa hasira unaonekana kabisa wewe ni ndugu yake Mange unakuja kumtetea. Kama si ndugu yake mange basi nawe pia una uhusiano na mzungu unatetea ujinga wenu wa kutembea uchi na wakwe zako bila noma, si ndiyo? Kama si kweli, wewe unaweza kuvaa bikini kuweka mtandaoni ili wakwe zako wazione? Utajisikiaje? Usitokwe na povu tu jaribu kufikiri wakati mwingine.
Wewe ndio unatokwa na mapovu kwanza kabisa changia hoja au jibu hoja wewe kichwa cha kuku nina wasiwasi watu kama wewe ndio mnatuchagulia viongozi Dhaifu kwa kuwa wavivu wa kufikiria na kukumbuka mambo nimesema hivyo kama mfano kwa kuwa hii issue hapa ilitaka jibu na wewe hujajibu sema tu ndio unapwitapwita kama kibatari kilichoishiwa mafuta.Jibu swali acha kwa uzi wangu sio kukimbila ku quote.
Angalia picha vizuri wewe....huoni kama huyo mtoto ana feel sorry for his mother?
Sijaelewa hii maana yake nini!!!!!!!