Mange Kimambi: Msema kweli ni mpenzi wa Mungu

maramla

Ni bahati mbaya sana kuwa Watanzania ukiwa na maslahi na kitu unasahau kwa muda kusema ukweli. Katika vyama vya siasa kwa sasa CCM ina wenyewe na wala siyo wewe. Angalia wafanya maamuzi ndani ya CCM katika ngazi ya Taifa na ufanye utafi kidogo tu na utwambie ukweli.

CCM kwa sasa ni chama cha kifamilia na ili upate nafasi lazima ufahamiane na mkubwa au mtoto wa mkubwa fulani ndani ya chama .This is the reality on polical parties in Tanzania. Huwezi kusema CHADEMA peke yake anza na ccm nenda Cuf, act ADC, TLP n.k.
 
Last edited by a moderator:
Na sisi tukutajie extended family ya wana ccm? Nikugusie?
JK rais, 'mama salma, rizone kuna katoto kao kafogo kapo ccm chipukiz. Bado niendelee? Membe
 
Baba riz1 akitamka kuwa lowassa nifisadi nitampakura yangu makofuli
 
Alishawaponda watanzania na kuabudu wazungu. Kutwa kujisifu ....Muke ya Mzungu! Akidhani kuwa mke wa mzungu basi yeye ni malaika! Wakati tunajua wazi kwamba sometimes wazungu huwatumia kama chakula ya mbwa wao!
Mimi nipo us mkuu najua dada zetu wanavyohangaika so hiyo wala si la kusema, ila inachoniskitisha ni hao wafuasi, mtu anawatisha yupo us basi nao wanafuata kama kuku tu..
 
Husikii ccm ina wenyewe. Hichi kimambe kina mume kweli. Inaonekana kiko frustrated.
 
huyu mange ndo nani hapo TZ mtu juze nasisi tumjue maana wengine hatumjui vyema....tujuzeni tumeona tu hii post hapa
 
Eti unaombwa reference unaenda kuleta Mange Kimambi et al,....unajitambua kweli?
 
huyu mange ndo nani hapo TZ mtu juze nasisi tumjue maana wengine hatumjui vyema....tujuzeni tumeona tu hii post hapa

We jadili alichoandika mkuu haya mambo ya nani ndio nani ndio yamefiisha nchi hapa watu hawajadili sera wala taasisi kila uchao majina ya watu tu. . . . .
 


Hiyo ni mirror image ya serikali ya chadema, kama ingeweza kuingia ikulu..halafu eti wapewe nchi, thubutu zake. Wa prove kutokuwa na ukabila katika uendeshaji wao wa chama ndio tutawaamini kuwapa nchi. Vinginevyo ni heri nchi iendeshwe na jeshi. Tanzania bila ukabila inawezekana
 
your not biased on your statistic presanted,due to that list you mentioned a few chadema cadres and their post-position, can you looking ccm on thé other side? are you sûre ccm are not minority and godfathers leading tanzania.
 
Lowasanasimama kwa ticket ya ukawa ,hawa wapo nchi nzima kuanzia zenji hadi kigoma , lindi hadi mwanza

Ccm wamepewa nchi miaka na miaka wameishia kuiuza nchi kama njugu na kutudharau wananchi , tumechokaaaa, sasa basi inatosha tunataka kuwaonyesha wanasiasa who is the BOSS, sasa hivi ukiileta uhuni ni mwendo wa vichinjio tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…