Magufuli aliwaambia wazi kabisa CHADEMA kwamba Katiba Mpya siyo kipaumbele chake

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,102
Hata mzee Wassira pale TBC alimwambia Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo Mzee Zitto Kabwe kwamba bila Serikali mbili hakuna Katiba mpya.

Na yule Shujaa Magufuli aliwaambia CHADEMA kuwa Katiba Mpya siyo kipaumbele chake kwani fursa ilishatolewa awamu ya Nne ikashindikana.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu 😀
 
Back
Top Bottom