Mange Kimambi: Msema kweli ni mpenzi wa Mungu | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mange Kimambi: Msema kweli ni mpenzi wa Mungu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by maramla, Aug 13, 2015.

 1. maramla

  maramla JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2015
  Joined: Jan 8, 2014
  Messages: 456
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 60
  ImageUploadedByJamiiForums1439437498.482045.jpg
   
 2. Charles Dotter

  Charles Dotter JF-Expert Member

  #41
  Aug 13, 2015
  Joined: Apr 16, 2015
  Messages: 900
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 80
  mkuu ata unapo fanya research lazima u- declare conflict of interest, sasa hatuwezi kukurupuka na kujadili mada bila kujua huyu ni nani na anahusikaje na siasa, juzi tumesikia polepole akichangia akiwa peke yake then alipo kuja msigwa ndo tukajua kumbe anamasilahi na ccm maana wote tulijua yeye anasimamia katiba kama katiba but kwasasa maslahi yake yeye ni ccm. so sio vibaya na sisi tukajua na huyu mtu interest zake.huenda kaandika mada kishabiki


   
 3. Benz Petrol

  Benz Petrol JF-Expert Member

  #42
  Aug 13, 2015
  Joined: Nov 22, 2012
  Messages: 503
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
 4. m

  mwasu JF-Expert Member

  #43
  Aug 13, 2015
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 8,258
  Likes Received: 6,152
  Trophy Points: 280
  Huyu mwanamke amechanganyikiwa, sasa anatafuta huruma ya ccm ili kesi ifutwe arudi marekani hana lolote kila siku anaamka na jambo jipya kuhusu uchaguzi, chadema hakiulizi kabila la mtu, mbona tundu lisu si mchaga wala mpare? Huko ccm hajui kama kuna wenyewe au anajitoa ufahamu tu, akaangalie ile listi ya wabunge viti maalum wa UVCC ndio aje aharishe hapa.
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #44
  Aug 13, 2015
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,832
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  ​Mimi hata iweje kura yangu ni UKAWA tu
   
 6. d

  dadiiii Senior Member

  #45
  Aug 13, 2015
  Joined: Jul 10, 2015
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We gamba sugu!, prof safari,mwalimu, ni familia ya nani? Mwaka huu lazima uache iyo biashara ya meno ya tembo na unga.mlinzi wako kwishney
   
 7. m

  mangola JF-Expert Member

  #46
  Aug 13, 2015
  Joined: Aug 27, 2014
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Taratibu amelainika. Sasa yeye mda mwingi yuko marekani sisi tuko tz, mdamfupi tu ka give up, sisi alitegemea tuwe na roho ya paka kuipambania ccm na uovu wake!?
   
 8. o

  oooh Member

  #47
  Aug 13, 2015
  Joined: Apr 29, 2015
  Messages: 15
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Viva ukawa let us meet in october! Tunza kadi yako wallah lazima tuwakate ccm,
   
 9. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #48
  Aug 13, 2015
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Ukawa umeenea nchi nzima, hoja za ukabila na udini hazina mashiko tena. Ila point ni kwamba watu wanataka CCM out, yaani hata isingekuwa ukawa ingekuwa chadema na hata kama ingekuwa chadema ya wachaga tupu bado watu wange isapoti tu kwa sababu WATU WAMECHOKA, vijana waliozaliwa miaka 30 iliyopita watoto wamlala hoi neema wanaona tu kwenye tv, wanaisoma kwenye vitabu vya dini nakuikodolea macho kwa watoto wa vigogo. Hawako tayari kudanganywa kwa miakamingine 10.

  Hapo kwa mafisadi ni kichekesho, mafisadi wa escrow, epa,etc etc wapo ccm kwa hiyo kwa suala la ufisadi ccm bado wameshika namba.

  Bilioni 10 ni hadithi za paukwa na pakawa until proven, na ikiwa proved ushahidi upelekwe takukuru wahusika wakashughulikiwe kule, ukawa watabadilisha magurudumu yalopata pancha safari itaendelea.

  Kwa suala la Nyerere ikumbukwe ni Nyerere huyo huyo alisema,kama mtu anakubalika na watu mpitisheni huyo, alisema chama kitakacho mkataa mgombea anayekubalika na wengi kitalia machozi ambayo hayataweza kufutika,alisema hamchagui katibu wa chama mnachagua raisi….mtazamo wa watu ni muhimusaaana!
   
 10. Mkungo

  Mkungo JF-Expert Member

  #49
  Aug 13, 2015
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 224
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  UKAWA will change the status quo; i doubt it bearing in fact that kiongozi mkuu is not that clean either. I trusted Dr. S...
   
 11. INGENJA

  INGENJA JF-Expert Member

  #50
  Aug 13, 2015
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 4,819
  Likes Received: 3,404
  Trophy Points: 280
  Hii dio CCM ya Kikwete imagine tunaipa miaka mingine mitano ya utawala,hali itakuaje??? chama kimekuwa cha kitoto kimejaa wazee wenyeheshima lakini chaajabu wanakubali kuongozwa na wahuni na wako kimya tu,mtazame mzee Pius Msekwa,Mzee Salim Hamed Salim,mzee Mkapa,mzee Mwinyi hata kumkemea huyo brother man wameshindwa..!!sijui lakini huenda ni kweli ndege wanao fanana huruka pamoja
   
 12. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #51
  Aug 13, 2015
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 9,285
  Likes Received: 2,988
  Trophy Points: 280
  Vua gambaaa
   
 13. Benz Petrol

  Benz Petrol JF-Expert Member

  #52
  Aug 13, 2015
  Joined: Nov 22, 2012
  Messages: 503
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #53
  Aug 13, 2015
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,357
  Likes Received: 7,358
  Trophy Points: 280
  Hana jipya,
  Kwani alipoamua kuolewa na mnyamweziii wanaume wote wa tz walikuwa wachagga?.

  ................ mchosho tu huo............
   
 15. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #54
  Sep 15, 2015
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,208
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Please rephrase...Na "MCHUNGA NG'OMBE WAO" Makufuli.
   
 16. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #55
  Sep 15, 2015
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,217
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  hivi mange aliachiwa huru baada ya lowassa kutoswa ccm na kujiunga na ukawa sio?
   
 17. Mbushuu

  Mbushuu JF-Expert Member

  #56
  Sep 15, 2015
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 1,099
  Likes Received: 1,239
  Trophy Points: 280
  Kwaio ccm ilianzishwa kutoka mbinguni:confused:
   
 18. kigongoi

  kigongoi JF-Expert Member

  #57
  Sep 15, 2015
  Joined: Apr 21, 2015
  Messages: 318
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Yaani wagombea wa ukawa watake wasitake nitawapigia kura yangu
   
 19. Col Miraji

  Col Miraji JF-Expert Member

  #58
  Apr 3, 2017
  Joined: Sep 20, 2016
  Messages: 548
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 80
  Wewe mama wewe
   
 20. Living kereth

  Living kereth Member

  #59
  Apr 5, 2017
  Joined: Feb 7, 2017
  Messages: 62
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 25
  Acha upotishaji wa kijinga nimesoma ujinga wako huu nimegundua huna lolote unalolifahamu kuhusu chama demokrasia na maendeleo ...tunakukaribisha chadema kama umechoka na maisha ya lumumba
   
 21. jvanraymond

  jvanraymond New Member

  #60
  Apr 6, 2017
  Joined: Jan 28, 2017
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  NIAJABU GANI MTU UNAMUITA MJINGA ALAFU UNAMKALIBISHA NDANI YA CHAMA CHENU?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...