Mange Kimambi: Msema kweli ni mpenzi wa Mungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mange Kimambi: Msema kweli ni mpenzi wa Mungu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by maramla, Aug 13, 2015.

 1. maramla

  maramla JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2015
  Joined: Jan 8, 2014
  Messages: 456
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 60
  ImageUploadedByJamiiForums1439437498.482045.jpg
   
 2. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2015
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Team buku saba. Haya kapokee buku saba yako Lumumba
   
 3. TEKNOLOJIA

  TEKNOLOJIA JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2015
  Joined: Jan 6, 2014
  Messages: 4,306
  Likes Received: 758
  Trophy Points: 280
  That's a painful fact that some diehard supporters of CHADEMA are not ready to accept but it seriously hurt the party.
   
 4. P

  PMM JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2015
  Joined: Dec 13, 2014
  Messages: 780
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 60
  Ya Nyerere so ndio aliianzisha Kama Mtei alivyoamzisha CHADEMA
   
 5. KV LONDON

  KV LONDON JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2015
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 904
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Lowassa atake asitake nitampa kura yangu
   
 6. k

  kukukakara JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2015
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  kama mtu umefilisika kimawazo bora ukae kimya, sio kuja kuonyesha hapa.
   
 7. Kublai

  Kublai JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2015
  Joined: Aug 2, 2015
  Messages: 307
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM ni ya Kikwete, Salma, Riziwani na houseboy wao Makufuli
   
 8. mjingamimi

  mjingamimi JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2015
  Joined: Aug 3, 2015
  Messages: 13,084
  Likes Received: 10,844
  Trophy Points: 280
  bhado mna UKABILA?
   
 9. wax

  wax JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2015
  Joined: Jun 14, 2015
  Messages: 2,544
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Kura yangu lazima nimpe Lowasa
   
 10. mjepo

  mjepo JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2015
  Joined: Aug 8, 2013
  Messages: 4,918
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  We fisadi nyerere yupi unamzungumzia we fisadi kamabarange alikuwa na timu ya wenzake katika kuanzisha chama lakini chadema ni chama cha familia.
   
 11. TataMadiba

  TataMadiba JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2015
  Joined: Feb 7, 2014
  Messages: 9,621
  Likes Received: 3,911
  Trophy Points: 280
  Ni moja ya sababu zilizomgharimu SLAA
   
 12. Mkungo

  Mkungo JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2015
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 224
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  TAFAKARI EWE UNAYEJIITA MWANA CHADEMA 👇👇👇
  ----------------------------------------------
  Inasikitisha sana kuona ukabila na undugu kama huu Tz...

  1. Mwenyekiti Chadema taifa- Mh Freeman
  Mbowe (mchaga,kilimanjaro)

  2. Mkurugenzi wa fedha na uwekezaji - Ndugu
  Anthony Komu (mchaga,kilimanjaro)

  3. Mwenyekiti Bodi ya wadhamini ya chama -
  Mh. Philemon Ndesamburo (mchaga,
  kilimanjaro)

  4. Mkurugenzi wa Rasilimali wa chama- Ndugu
  Suzan Lymo (mchag,Kilimanjaro)

  5. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri -Ndugu
  John Mrema (mchaga, kilimanjaro)

  6. Naibu katibu Mkuu wa chama - John
  Mnyika ( mpare wa kilimanjaro mwenye maskani yake Dar)

  7. Mwenyekiti wa Wanawake Halima Mdee (Mpare wa Kilimanjaro mwenye maskani yake Dar es Salaam)

  8. Makamu mwenyekiti wa Wazee Susan Lymo (mchaga wa Kilimanjaro)

  9. Walinzi wote wa Mbowe (wachaga wa Kilimanjaro)

  10. Asilimia 98 ya madereva wa Chama wachaga wa Kilimanjaro

  Asilimia 80 ya wabunge wa kuteuliwa wa Chadema wanatoka Kilimanjaro na
  Arusha,wakiongozwa na Mrs wa Mbowe wa pili Joyce
  Mukya, Grace Kihwelu, Suzan Lymo, Lucy Ndesamburo Owenya, Cecilia Pareso, Rebecca Mngodo na Rose Kamili.

  11:Tundu Lisu MB na dada yake wa kuzaliwa MB
  wa kuteuliwa,

  12:Dk Wilbroad Slaa katibu mkewe wa ndoa Mb
  wa kuteuliwa

  13:Mbowe Mwenyekiti Mkewe mdogo Mb wa
  Kuteuliwa

  16:Ndesamburo Mb mwanawe wa kuzaa MB
  kuteuliwa

  16:Mtei Mlezi wa chama mkwewe Mbowe
  Mwenyekiti wa Chama,
  Hii familia inataka iongoze watu zaidi ya milioni
  44 haitakuja kutokea katika historia ya Tanzania

  Ndio wanafamilia hawahawa waliomtengenezea zengwe la kumfukuza Mh Zitto Kabwe katika chama hiki cha kifamilia baada ya kuona anakubalika ndani ya chama hicho na anauwezo wa kuwa mwenyekiti endapo angechuana na Mbowe lakini si mchaga wala mtu was kaskazini.

  Hapo ndipo vikao vya kifamilia vikaanza na kuamua kumtimua Zitto.

  Wanafamilia hawa ndio wamemuuzia chama chao Edward Lowassa kwa kiasi cha Billion 10 ili agombee urais kupitia chama hiki! Dr Slaa alipohoji akaambiwa wewe sio mwanafamilia hivyo tulikustili kwa muda tu. Ndipo slaa akagundua kuwa sio chama bali ni SACCOS na kuamua kujiengua.

  Mwl Nyerere aliwahi kusema, nanukuu " Mtu anayeonekana anapenda sana kwenda ikulu hafai hata kidogo ni wa kukwepa kama Ukoma".

  NDG watanzania huyu Lowassa anavyopenda sana kwenda ikulu tumkwepe. Hizo bilioni 10 alizonunulia chama anataka akazirudishe kwa kutuibia sisi wananchi. ZINDUKA!

  Kama amenunua chama akipewa nchi siataiuza kurudisha gharama zake......!!!!?

  #SayNo2Fisadi
  #FisadiMwikoIkulu
  #RestInPeaceFisadi
  #NoEntryBigFisadi

  JIUNGE NA KAMPENI HIZI KUIOKOA NCHI YETU

  JOIN THE MOVE TO RESCUE OUR COUNTRY
   
 13. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2015
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  We dont care, we care about removing jk and his ccm.
   
 14. izzo

  izzo JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2015
  Joined: May 31, 2015
  Messages: 2,847
  Likes Received: 5,766
  Trophy Points: 280
  nyerere hakuanzisha ccm yeye katoka shamba kaja mjini tayari wazee wa pwani wameshaanzisha chama tayali walimkalibisha tu kwenye TANU then tanu hiyo hiyo ndo ikachange kuwa ccm baada ya kuonganisha vyama viwili vya Tanganyika na Zanzibar
   
 15. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2015
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Kwamba CCM TUMEISHIWA MTU WA KUTUTETEA MPAKA TUMTUMIE KICHAA MANGE?
   
 16. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2015
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,890
  Likes Received: 740
  Trophy Points: 280
  Kweli JK katuweza, hadi huyu nae ni political commentator!
   
 17. s

  sawa JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2015
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,655
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  Kwanini alijitoa kugombea unajua watu wakiishi USA wanadhani wana akili sana
   
 18. hazole1

  hazole1 JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2015
  Joined: Jan 3, 2015
  Messages: 4,126
  Likes Received: 3,346
  Trophy Points: 280
  Ivi kati ya huyo demu na mungu nani mkweli na tumsiklize nani mungu ametuonyesha njia iliyo sahihi
  Alafu yeye anakuja kindakindaki kutuambia fyokofyoko
   
 19. aye

  aye JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2015
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 2,043
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180

  uyu nae simwelewagi mara analalamika kunyanyaswa sjui kashtakiwa mara kazuiliwa kuondoka saa nyingine anaiponda ccm saa nyingine anaisifia hajielewi anafanya nini kwakweli
   
 20. t

  treborx JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2015
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 4,510
  Likes Received: 2,071
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha! eti CCM haijulikani ni ya nani? aache kutudanganya. Wenye CCM wanajulikana saaana tu, Ni MAFISADI.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...