bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Asimpalie makaa kesi yake bado haijaisha mahakamani!
HahahahaaaaaSasa hata hajaanza kuulizwa kishaamkia Watu wote Chumbani na kuanza kutoa Siri zote hata za mambo binafsi unadhan watamtesa? Kwanza ukimtazama tu kakaa ki kunguru kunguru kwa uoga