Mange Kimambi amshitaki Wakili Magai wa IMMMA Advocates kwa shambulio

Nashukuru MK kajisajili JF kama ni mwenyewe halisi lakini.......
 
yah yeye pia kai quote ina maana kaikubali iwe hapa,kaifurahia kachekelea kaipenda ndio maana kai quote....

.......femenist inaweza kuwa mimi,wewe au yeye sio tusi ni maana ambayo wewe umetafsiri sijamvunjia mtu heshima........

......waambie mods kwanza waondoe picha ya MK kwanza..........

Kwani wewe kinakushinda nini kuwaambia? Mimi nitaanzaje wakati hata ilipo hiyo picha sijui!
 

mkuu unaweza kutuambia wapi MK alisema yeye ni mtoto wa kislamu?

Yo Yo,

Je, umepata jibu gani kwa swali lako "mkuu unaweza kutuambia wapi MK alisema yeye ni mtoto wa kislamu"?

Unasemaje baada ya kujibiwa?
 
JF inatofauti gani na zeutamu?....watu mnachomoa picha watu mnapopajua na kuja kuziweka hapa na kuanza kurusha madongo........

Nani ananyofoa picha zaidi ya YOYO. Kwanza zake bado. Huyu yoyo dataz tunazo subiri siku yako... kumbuka posti zako zote hata kwa michuzi, majungu na madongo yako kwa watu wasio na hatia, leo unajifanya mtakatifu????
 
Nani ananyofoa picha zaidi ya YOYO. Kwanza zake bado. Huyu yoyo dataz tunazo subiri siku yako... kumbuka posti zako zote hata kwa michuzi, majungu na madongo yako kwa watu wasio na hatia, leo unajifanya mtakatifu????

Wee nyamaza sijui kwanini hujafungiwa maana wewe ni bingwa wa kuzusha mambo na vijambo!
 
Singependa nimjudge huyu Mange kabla ya mahakama lakini image yake niliyokuwa nayo ni mbaya sana, japo kuwa sijawahi kumuona na wala simjui. baada ya kusoma hiyo story na kuona kuwa alienda Dubai kufanyiwa surgery, kitu kimoja kiliniingia kichwani ghafla- "she probably needed a boob job and that was the right time to do it!!!", anataka aue ndege wawili kwa jiwe moja.
Once again I was right on this! Baada ya kuiona picha ya huyu demu kwa Michuzi, kwa utaalamu wangu matiti yake yanaonekana ni feki, lazima yatakuwa yamechochewa silicones!
 
Yo Yo,

Je, umepata jibu gani kwa swali lako "mkuu unaweza kutuambia wapi MK alisema yeye ni mtoto wa kislamu"?

Unasemaje baada ya kujibiwa?
MK mwenyewe yuko JF atajibu maswali yanayomhusu.......
 
Nani ananyofoa picha zaidi ya YOYO. Kwanza zake bado. Huyu yoyo dataz tunazo subiri siku yako... kumbuka posti zako zote hata kwa michuzi, majungu na madongo yako kwa watu wasio na hatia, leo unajifanya mtakatifu????
Inakuwaje mazee? mbona unanishikia bango kihivyo?
 
Damn, now i understand why USA cherry pick who can come in and who need to stay out. Sad sad and sad. No further comments.
 
Any update wakuu?

attachment.php
 

Attachments

  • mange1.jpg
    mange1.jpg
    39.5 KB · Views: 527
Du huyu bwana Hasanal aliyekatikakati alikuwa pande la mtu,atwambie siri ya kupungua mwili wake kwani atatusaidia na sisi watu wanene,kwa kweli big up ndugu Hassanali ,huyu mwingine ni Ali Remtullah wote ni magwiji wa mitindo,
 
Du huyu bwana Hasanal aliyekatikakati alikuwa pande la mtu,atwambie siri ya kupungua mwili wake kwani atatusaidia na sisi watu wanene,kwa kweli big up ndugu Hassanali ,huyu mwingine ni Ali Remtullah wote ni magwiji wa mitindo,

Ni kweli huyu Hasanali alikuwa pande! Kama ni mazoezi kwakweli akjitahidi, na ni vema akatupa siri ya urembo!
 
Ni kweli huyu Hasanali alikuwa pande! Kama ni mazoezi kwakweli akjitahidi, na ni vema akatupa siri ya urembo!


He! Hasanali na Remtullar tena kwenye thread ya Magai na Mange!!!??? hii ni error au macho yangu!!!:confused:

Wenye update na ile kesi ya kudai mamilioni kutoka kwa bwana moustache watupe basi....
 
Ebo! Hata kama walikuwa lovers before does it mean kwamba ana haki ya mumdhalilisha mwenzake? That learned brother is actualy prostituting his entergrity, diginity and professional as well. Imagin being humiliated at a place like Kempinsk Hotel tena in public! What a shame to our prominent Advocate1 You know what? FOOLS DIE
 
A Dar es Salaam businesswoman, Ms Mange Kinambi, has sued Mr Sadock Dotto Magai, an advocate from IMMA Advocates Company, claiming over 150m/- for tortuous assault at the Kilimanjaro Kempinski Hotel last Sunday.

Through Tenga and Partners Advocates, the city businesswoman filed the suit at the High Court yesterday, demanding for specific damages of 1,575,000/- and $24,120 and general damages of 135m/- and costs of the suit — plus any other relief the court may grant.

It is alleged that on March 15, this year, Ms Kinambi and her two friends, namely, Nafue Nyange and Lona Mashiba, went to Kilimanjaro Kempinsk Hotel for a party. On arrival, they met another friend, Matukio Chuma, with whom they later joined another friend, Rita Mchaki.

While at the area, she ( Kinambi) bumped into the advocate whom she had known since 2003. The latter was sharing a table with one Bashiri Awale, who is also her friend and one Sandra, a girlfriend of the advocate. Some 20 minutes into the party room, the advocates went to their table and pulled Nyange and went to the manager of the Kempinski bar and when they went back they found Ms Kinambi on the dancing floor with her friends.

While still at the dancing floor, for no apparent reason, the advocate started shouting at her, demanding that she should leave the room, and was subsequently attacked when she refused to obey the advocate’s demands - calling her bad names. It is alleged that the advocate later grabbed her, pulling her bra back and forth, exposing her breast in public.

The action of pulling Ms Kinambi back and forth also allegedly caused her a lot of pain, particularly on her breast which had to undergo an operation – from which grew a big scar. The assault lasted nearly four minutes, during which Ms Kinambi’s friends pleaded with the advocate not to assault her to no avail. Finally, Good Samaritans interceded, pleading with him not to hurt the woman.

Eventually, the advocate pushed the woman away with great force, from which the woman suffered both physical and personal injury - humiliating her, injuring her feelings and exposing her to public ridicule before her colleagues and prospective business clients.

Ms Kinambi is demanding $7,000 as costs of carrying out anew the operation on the injured breasts at the hospital in Dubai, $1,600 in return flights for her and her attendant, $700 for costs of staying in hospital for one week and $7,000 for two weeks in hotel accommodation for her and three weeks for her attendant.

She is also claiming 150,000/- in lost jewellery, a hand bag containing $7,000, some 75,000/- in local currency and a mobile phone valued at $820. She also demands general damages for loss of reputation as an unmarried Muslim girl and loss of reputation of her business, damages of humiliation, physical pain, injury of feelings, ridicule and loss of business.


Daily News | Advocate booked for assault

Wala sishangazwi
 
Back
Top Bottom