Mange Kimambi amshitaki Wakili Magai wa IMMMA Advocates kwa shambulio

Haya basi...'mtu mzima huwezi kwenda kula ugali wako na dagaa Kempinski....kama vile uko kwenye bar za uswahilini..' Hio imekaaje mkuu?

Aliyepigwa ni mwanamke na yeye mwenyewe(aliyepigwa) kaweka msisitizo kwenye hilo.Kasema jinsi bra yake ilivyovutwa,matiti yake yalivyokuwa exposed,please tell me if that was a man he would use the same description.

Kupigwa au kudhalilishwa kunatofautiana baina kitendo hicho kufanyiwa mwanamke au mwanaume...hata approach ya mpigaji mwenyewe inakuwa tofauti.Mwanaume utasikia 'walishikana mashati'.Sasa kama hio inasema wanawake ni weak,sijui...lakini i'm sure hata kwako kama kitu kinahitaji nguvu,lazima ataitwa baba,sijui...

Kupigwa mtu katika bar uswahilini ni sawa au si sawa?
 
Bimkubwa my friend.....what does him coming from Bunda have to do with anything? Stereotypes?

Mwenzangu!! Sometimes certain things are inevitable. There is alot of heresay as well as stereotypes that results from behaviours and habits people have repeatedly done.
Stereotypical views may seem harsh at times but when people like my educated brother Magai prove them, it just adds salt to the wound and proves the old adage of people from Mara.

Have you not heard about Kikuyus being thieves, Pare women killing husbands, the line goes on and on. Its always left to individuals to prove such stereotypes as wrong. Of recent I have noticed in this same forum people claiming women from Bukoba as the most beautiful, don't you think thats stereotypical?

What about our brothers the Nigerians?
 
umeuliza, mara gafla ukajijibu... you are truly a character!!! BTW ule utetezi wako kwa masha ulikusaidia?

Who are you to call me a character when you do not know a hoot about me? Unfortunately I have never condoned Masha, you probably have me mixed up with someone else. Please check up on my postings.

Sorry :rolleyes:
 
Mwenzangu!! Sometimes certain things are inevitable. There is alot of heresay as well as stereotypes that results from behaviours and habits people have repeatedly done.

Agreed!

Stereotypical views may seem harsh at times but when people like my educated brother Magai prove them, it just adds salt to the wound and proves the old adage of people from Mara.

I think it's unfair to condemn everyone who hails from Mara just because of one jerk called Magai. His jerk behavior doesn't prove anything other than he's a jerk.

Have you not heard about Kikuyus being thieves,

Honestly, I have never heard of this before. Nevertheless, you made me laugh. Next time I come accross one I'll be careful

Pare women killing husbands,

I'll never ever date a Pare woman.....sorry Pare women...blame it on Bimkubwa!

What about our brothers the Nigerians?

There are plenty of good natured Naija brothers and sisters Just a few bad apples who spoil the bunch!
 
Mara ngapi tunasikia mtu anaambiwa tena na mwnamke 'unalalamika/unalia/unaendesha gari kama mwanamke...' do they mean it literaly?

Labda hamjawahi kupita uswahilini,hayo mambo huko hutokea kila siku,wengine tunakaa huko,na huo ndio mfano wangu,sio kwamba nashabikia kitendo cha mwanamke kupigwa.

Yes, they mean it literally!

Wanamaanisha, kwa fikra zao, kwa mawazo yenu, mwanamke ni mtu weakling weakling, hayuko rafu rafu akiendesha gari, kazi yake kulia lia, udhaifu na kulalamika. Nyinyi msemao hivyo mnamaanisha literally!

Na wewe ulipomlaumu Magai kwa kumpigia Kempiski badala ya bar ya uswahilini umeharibu. Just because hayo mambo yanatokea kila siku uswahili haina justify kwamba ni sawa.

Unasema kama hatujapita uswahilini, okay, sasa wewe "uliyepita" uswahilini na mimi ambae sijapita nani anakujali zaidi huko Uswahilini, mimi au wewe unaeshabikia kwamba ili Magai aonekane mtu mzima mwenye akili zake basi amchukue mwanamke akambwengee kwenye bar za Usweken kwa sababu huko watu watasema mwanamke "malaya tu"! Zanaki unaharibu, kataa usikatae.

"Kupita uswahilini"! Tena usije ukajichanganya mitaa ya kati kumpiga mwanamke "kwenye bar uswahilini." Kuna anga fulani fulani tutakugombania na utakuona kuchungu usije "kupita" tena. Na huko Kempiski kwenyewe na sisi "tukipita" tukakuta unamshauri Magai amlete mwanamke kumchapia usweken tutawarukia wewe na Magai!

...Mtu mzima na akili zako huwezi kufanya mambo kama hayo Kempiski....kama vile uko kwenye bar za uswahilini,ambapo kila mu atawahi kusema kuwa mwanamke yule ni malaya tu!
 
Huyu Mange Kimambi hachelei kumprovoke mtu mwenye pesa kwa ajili ya kutaka uhusiano, au kutaka pesa. Anatumia UISLAM NA UANAMKE kutafuta symphathy kisheria na kijamii.

Na huyu mwanasheria naye ameshindwa kujua kwamba hutakiwi kumpiga mtu yeyote yule, hatakiwi kuchukua sheria mkononi.
 
Yes, they mean it literally!

Wanamaanisha, kwa fikra zao, kwa mawazo yenu, mwanamke ni mtu weakling weakling, hayuko rafu rafu akiendesha gari, kazi yake kulia lia, udhaifu na kulalamika. Nyinyi msemao hivyo mnamaanisha literally!

Na wewe ulipomlaumu Magai kwa kumpigia Kempiski badala ya bar ya uswahilini umeharibu. Just because hayo mambo yanatokea kila siku uswahili haina justify kwamba ni sawa.

Unasema kama hatujapita uswahilini, okay, sasa wewe "uliyepita" uswahilini na mimi ambae sijapita nani anakujali zaidi huko Uswahilini, mimi au wewe unaeshabikia kwamba ili Magai aonekane mtu mzima mwenye akili zake basi amchukue mwanamke akambwengee kwenye bar za Usweken kwa sababu huko watu watasema mwanamke "malaya tu"! Zanaki unaharibu, kataa usikatae.

"Kupita uswahilini"! Tena usije ukajichanga mitaa ya kati kumpiga mwanamke "kwenye bar uswahilini." Kuna anga fulani fulani tutagombania na utakuona kuchungu usije "kupita" tena. Na huko Kempiski kwenyewe na sisi "tukipita" tukakuta unamshauri Magai amlete mwanamke kumchapia usweken tutawarukia wewe na Magai!
Kuhani asante kwa hili jibu, halafu huyo Zanaki ni mwanamke na anataka kuhalalisha hii kitu kama ikitokea uswahilini, kweli tuna safari ndefu.
 
Huyu Mange Kimambi hachelei kumprovoke mtu mwenye pesa kwa ajili ya kutaka uhusiano, au kutaka pesa. Anatumia UISLAM NA UANAMKE kutafuta symphathy kisheria na kijamii.

Na huyu mwanasheria naye ameshindwa kujua kwamba hutakiwi kumpiga mtu yeyote yule, hatakiwi kuchukua sheria mkononi.

I pray that she pleads character evidence in court so that we can have an opportunity to hear from the other side. Mh. Kuhani you got me, right!
 
I pray that she pleads character evidence in court so that we can have an opportunity to hear from the other side. Mh. Kuhani you got me, right!

Shadow,

Kama unavyojua, kesi nyingi za madai huwa zina settle nje ya mahakama, kwa hiyo huwa sitegemei mengi yaibuliwe na kesi. Na hata zisipo settle, press ya Tanzania huwa haiwezi ku cover details za kesi kwa undani. Unaweza kusikia fulani kafungua kesi halafu jiiiiii!

Ila ningependa kama angeshtakiwa kesi ya jinai tuone kama Law Society wangem disbar akipatikana na makosa. Lakini na hapo pia tusingeweza kusikia details za kesi zinavyokwenda. I mean, imagine mpaka leo hakuna gazeti limeandika kina Yona na Mramba wameshtakiwa kwa kuvunja sheria gani. Kiasi cha mtu kwenda kusoma criminal complaint tu, wanashindwa. Ndo maana hizi kesi zikianza I never hold my breadth.

Huyo Uwiano Maalum naona hajui anachokisema. Anamlaumu aliyepigwa eti ana "provoke wanaume wenye pesa kutafuta uhusiano." Hivi ukitaka kumchuna mtu unatam provoke? Anasema sheria na jamii isimpe sympathy ya "uislam na uanammke" halafu hapo hapo anajifanya ame maindi mama alivyopigwa. How preposterous.
 
aaaah utamu hafai utamu hafai......mnajionea wenyewe......huyu mange kaolewa dubai huko na mshefa.....alikwenda kutafutani na mabwana za watu?...

.......nionavyo kuna conflict of interest kati ya magai 4 what i know they were lovers b4........

hii nimeipenda, zaidi tungepata meelezo ya upande wa pili ingenoga sana
 
Na wakome mijitu inayopenda kudhalilisha wanawake! Sasa mwnasheria mzima anafanya vituko vya kariakoo? Wacha ashtakiwe na ikiwezekana amlipe dada fidia yote anayodai!

KAZI KWELI KWELI, MWANA HARAKATI HUYOOOOOO

Hawa wanajuana toka zamani but Magai. Shame on you man!!

aaaah utamu hafai utamu hafai......mnajionea wenyewe......huyu mange kaolewa Dubai huko na mshefa.....alikwenda kutafutani na mabwana za watu?...

.......nionavyo kuna conflict of interest kati ya Magai 4 what i know they were lovers b4........

hii nimeipenda, zaidi tungepata meelezo ya upande wa pili ingenoga sana
 
aaaah utamu hafai utamu hafai......mnajionea wenyewe......huyu mange kaolewa Dubai huko na mshefa.....alikwenda kutafutani na mabwana za watu?...

.......nionavyo kuna conflict of interest kati ya Magai 4 what i know they were lovers b4........

Na inaelekea Magai ndiye aliyeachwa ndo maana ana hasira na huyu demu. Kuachwa ni shughuli pevu ndungu yangu wee. Alikumbuka style za huyu bibiye na kinywaji kilipomkolea kidogo akafikiri bado anamiliki demu kumbe alishatemwa siku nyingi. Well kama mjanja akubali yaishe nje ya mahakama, atadhalilika huyu. Yetu macho.
 
Isingekuwa habari ya maana wala tusingekuwa tunaijadili hapa JF sasa hivi. Sikumbuki kuona habari za kwenye magazeti ya Shigongo zikipewa uzito kwenye mjadala wowote hata JF!

Kila habari ina maana kwa wakai na nafasi yake na ndio maana kuna sports page, makala na habari za biashara, kitaifa na kimataifa na watu na matukio... ndugu masaki nina hakika news editors wananielewa na huwezi kuweka habari hii kama ilivyowekwa, unless ilikuwa ya kichunguzi na kama ni hivyo pande zote mbili zingekuwa consulted kwanza... tu eti kwasababu tunaijadili hapa. BTW, hata humu JF kuna tetesi, habari mchanganyiko, dini, nk.

i will stick to my gun, gazeti la serikali can do better than that... it just shows the level of incompetency tuliyonayo serikalini na shortage ya ethical adherence and understanding.

kuhusu la shigongo, inawezekana hata shigongo bado anafanya uchunguzi alitoe vizuri kuliko ule utumbo wa gazeti letu la serika

ANGALIZO, SIO KILA LIJADILIWALO HAPA JF LINA-WORTH FRONT PAGE, NA HATA INGEKUWA JF INA GAZETI HIYO INGEKUWA KWENYE WATU NA MATUKIO KAMA UNANISOMA

JF, THE HOME OF GREAT THINKERS AND NOT "SINKERS" NOR "STINKERS" you heard!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited:
Naomba niulize maswali machache sana maana hawa 'vijana' waliopigana/kupigwa wana umri gani? I need to understand the context kwa kweli.

Huyu Magae ni mume wa mtu au ni msela?

Because I just do not get it. This day and age? Inawezekana ni mambo katika rika fulani maana mzee mzima nimeshindwa

Magai is in his late 40's, Mange early 30's.Magai is married to a beautiful lady and they have children-have seen him with a teenage daughter.Mange organised miss Dar city centre a few years ago,lived in Dubai a few years( that muslim unmarried girl line)where she had breast implants in 2007.Mange has slandered the Rose Garden gang on her blog(magai,masha,bashir,mlatie,ray-regency etc).Nafue was with Magai on an off but Mange has not been.I think the slander and Magai's hot temper brought this outcome.
Whatever the reason Magai should not have done what he did and should face criminal charges.BTW the timeline does not add up-the date of the incident,the treatment time and the present.
Bi Mkubwa being married doesn't seem to affect people's actions nowadays,Masha,Bashir,Zadoc, Karamagi,Nchimbi etc are all MARRIED!
 
Last edited by a moderator:
Magai karidhishwa ubabe na Masha,hiyo kesi itaamua hatma ya Masha ya kuwatisha na kuwadhalilisha polisi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom