LEMA has not begged anyone
He has told the truth after personal attacks
Hivi kweli brother with all your wisdom unaweza kumtilia maanani mzushi wa kusema chadema wente mapumbu ni wawili? Dada wa Lissu kahongwa?
We may hate ccm with passion, but joining the wrong crew fails all the good deeds of getting our country out of this mess
We need busara na matumizi mazuri ya akili. You can’t build by destroying
You can’t destroy structures zote za democracy halafu utegemee zitarudi ukimtoa ccm, aishiye kwa upanga hufa kwa upanga
Mange is not even the right person kwa mtanzania yoyote has aukozingatia alipoanzia na social media, video chafu, invading personal privacies etc
We need a new, modern, cyber and alternative thinking to go along with digital era
Sio vyupa mabomu na bunduki kitaa
Kwanza kabisa mimi nina hoja zangu ambazo nilianza kuziongelea hapa JF kabla Mange hajamjibu Lema.
Mange si mtu ninayempa umuhimu katika uchambuzi wa mambo ya siasa, namjua tangu akiwa binti mdogo girlfriend wa rafiki yangu, si kwa kumuona mitandaoni leo.
Mange mimi simsikilizi, labda mtu anilazimishe kwa kunichezea content zake, au a forward na kutaka mawazo yangu.
Anavyoongea overly emotionally tu anani bore. Mange is just a gossip girl who got into politics too emotionally, too fast and too naively.
Kwa hiyo mimi si mtu wa kumshobokea Mange tafadhali nitoe katika kundi hilo.
Mange ana matatizo yake mengi, siko hapa kumshabikia Mange.
Ila Watanzania wengi kama wewe wana utapiamlo wa akili, wakiona unamsema Magufuli, basi moja kwa moja wanakuona wewe ni Team Samia. Wakati inawezekana huwakubali wote.
Wakikuona unamsema Lema, basi moja kwa moja wanakuona wewe lazima utakuwa Team Mange. Wakati inawezekana huwakubaki wite.
That is a false dichotomy logical fallacy. That is a non sequitur logical fallacy.
Kwanini unaona siwezi kuwakosoa wote wawili, Mange na Lema, kama watu wenye matatizo common kwa Watanzania wengi?
Kwa nini unaona nikimkosoa Lema lazima niwe Team Mange?
Mange karudia points nyingine nilizoanza kuzisema mimi hapa JF, kabla yeye hajamjibu Lema. Sasa unajuaje kuwa Mange hakuanza kupata hizo points kwangu kwa kusoma JF akitafuta points za kumjibu Lema?
Unajuaje mimi ni mfuasi wa Mange na Mange si mfuasi wangu?