Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

ubuyu ulisambazwa kuwa yeye ndio aliyeupokea huo mkanda usiku akakumbusha kuhusu ule mzigo wakadhani movie wote wapo sebuleni kitu kikatumbukizwa kwenye deki za dvd zile chezo likaanza onyesha mbona walitafutana mule ndo mwanzo wa kuishi kwa mwele badala ya kwa mama wa kambo. Ndo maana hata kumuongelea hamuongelei

Ana shida kubwa mno. Alitegemea mzungu atakua tiba akakutana na rungu la kutaka kujiweka maisha ya nyota tano wakati mzungu ana kipato cha kawaida hivyo akaanza maisha ya kuigiza yaliyopelekea kuchukiwa na wakwe na divorce juu.
So akakuta mkanda wa mandingo anampelekea baba yake ...sema huyo dada yuko tayari kufanya lolote apate pesa,ngoja wahovyo wamrekodi binti yake halafu atajua hajui
 
Irene uwoya anasemaje huko?
Huyu hapo
IMG-20220804-WA0037.jpg
 
Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu??

Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana Watu ni Zamani sana kuanzia kwenye Blog yake, akaenda Instagram akaitukana sana Serikali iliyokuwepo Madarakani na sasa kahamia kwenye App akiendeleza yale yale,

Huko kwenye App nasikia ameweka Kipengele maalum kabisa cha kuweka Videos za Kudhalilisha Watu, Serikali ya awamu ya Sita imefungia sites zote za Porn ajabu kwenye App ya Mange kuna Videos za aina hizo.

Watu Wamelia, Wameharibu Heshima, Wameharibu Kazi, Wamekosa Kutokujiamini tena mbele ya Jamii, Wamepata Misongo ya Mawazo, Wengine hadi Jela wameenda,

Je Serikali imemshindwa? Au inaona ni sawa anayoyafanya? Hakuna Wanasheria wa kuliweka hili suala lake kisheria??

Binafsi nasikitishwa sana nionapo Mtu anadhalilishwa kwa faragha zake, inafika muda hata Mke na Mume ndani tutaanza kutokuaminiana, Mtu aweza akavujisha videos kwa Mange ili apatiwe Pesa,

Mange ni sikio la Kufa hata akisemwa vipi ni kama ameshakubali liwalo na liwe as long as Pesa inaingia ndio maana nauliza hakuna jinsi ya kumshtaki kisheria hiyo tabia yake ikomeshwe?

Mange anaweza kudhibitiwa, ila hakuna nia ya dhati kumdhibiti kwa sasa.

Hawa wote anaosambaza video zao za utupu wakiamua wanaweza kuungana, kumshitaki na kumfungulia kesi (libel case and criminal case) huko huko Marekani.

Kesi za uhalifu na za madai kwa mabilioni ya pesa. Kama watu wamepewa madawa (sio wote ni wachache) na yeye ananunua na kuzirusha tu bila kujali anaweza kuwa anasaidia uhalifu.
 
Yule manzi serikali haina kosa tena maana ishafungia APP yake mpaka uwe na VPN.... ila ndo hivyo wadau wa kupenda udaku na zile ponoo wanalipaa mahelaaa tuuu...!! yule manzi ikipita mwaka na ile app kama hajafikisha mil 200 cash aisee kuna mkono wa mtuu...
Bro hiyo hela anaingiza mwa mwezi sio mwaka.
 
Yaani mtu aache kufanya anachofanya kwa starehe yake sababu wewe ni Peeping Tom ?

Ni kama wale wachungulia vyumbani kwa watu ili kuona watu wanafanya starehe zao (sasa hapa mwenye makosa ni nani mfanyaji kitu natural au mchunguliaji)? Unaweza ukasema kwanini asifunge pazia ila labda akifunga kuna joto....

In short huenda hao wachukua video that's their kinky stuff kwa faida yao ila wasambazaji nadhani ndio wakosa hekima (Mange akiwemo)
Mange anaipataje??kama sio wanaojichukua wanampa.
 
Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu??

Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana Watu ni Zamani sana kuanzia kwenye Blog yake, akaenda Instagram akaitukana sana Serikali iliyokuwepo Madarakani na sasa kahamia kwenye App akiendeleza yale yale,

Huko kwenye App nasikia ameweka Kipengele maalum kabisa cha kuweka Videos za Kudhalilisha Watu, Serikali ya awamu ya Sita imefungia sites zote za Porn ajabu kwenye App ya Mange kuna Videos za aina hizo.

Watu Wamelia, Wameharibu Heshima, Wameharibu Kazi, Wamekosa Kutokujiamini tena mbele ya Jamii, Wamepata Misongo ya Mawazo, Wengine hadi Jela wameenda,

Je Serikali imemshindwa? Au inaona ni sawa anayoyafanya? Hakuna Wanasheria wa kuliweka hili suala lake kisheria??

Binafsi nasikitishwa sana nionapo Mtu anadhalilishwa kwa faragha zake, inafika muda hata Mke na Mume ndani tutaanza kutokuaminiana, Mtu aweza akavujisha videos kwa Mange ili apatiwe Pesa,

Mange ni sikio la Kufa hata akisemwa vipi ni kama ameshakubali liwalo na liwe as long as Pesa inaingia ndio maana nauliza hakuna jinsi ya kumshtaki kisheria hiyo tabia yake ikomeshwe?
Pole sana Mkuu na unaonyesha kuwa nawe ni Mhanga wa huko Kujeruhiwa nae.

Hata hivyo pamoja na Kumshutumu Kwako hivi ila 98% ya Taarifa zake huwa ni za Kweli.

Tafadhali Mange piga tu Spana Bibie.
 
Back
Top Bottom