Mange Kimambi afunguka kuhusu Ufisadi wa Vodacom

Status
Not open for further replies.

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,674
Ujambazi Uliofanya Vodacom Lowassa Aka Resti In Pisi... Jamani Kha!!!

Kha hii nchi jamaniiiiiiiiii, imeozaaaaaaaaaaaaaaaaa….
Yani imeozaaaaa..sio serikalini sio priveti

jamani next president mie naomba unipe kazi ya kuwaumbua mawaziri wako na wabunge tuuuuu,
mshahara wangu kunisomeshea wanangu shule kama

Havard basiiiiii, siitaji cash ,only ivy league schoos for my kids itatatosha….hahahahhahaha

Jamani ngojeni niwapeni kidunchu nachokijua mimi about hili balaaaaaa,

Ni hivi, huyu RENEEE si mnamkumbuka alikuwaga TIGO akapiga bonge la dili huko TIGO
na hilo dili alipiga na vijana wake waleeeeee

nisije kuwa sued hapa sasa. Hahhahah, alafu kikanuka akaondoka from TIGO
na director mpya alivyokuja tigo wale vijana alioiba nao wakatimuliwa tIGO.

Sasa mtanzania jiulize after about 4 years RENEE huyo huyo
karudishwa tena TANZANIA ili akapige dili kwenye another company…kha!!!!

Alafu sasa hii story naijua utamuuuuu jamani, Huyu RENEE kaja vodacom
jamani aliwatesa wafanyankazi wa vodacom,
kumbukeni wakati Renee anaingia voda nilikuwa niko close
na a good number of vodacom personnel.

Uwiii what he did firstt ni kuwanyang'anya managers wooooooote
magari ya kampuni, ilikuwa ni shidaaaaa, waliachiwa magari wale mabosi wakubwa

ila mabosi wa level ya pili woooote walinyanganywa,
one of my friends at the time alikuwa maanger yani kidogo aache kazi….

Cha pili alichofanya akasema no more vodacom miss Tanzania,
alivyo na roho mbaya yule baba, na ndo hiyo ikapelekea

Miss Tanzania kupauka kiasi hiki cha sasa hivi,.
Imahine vodacom ilikuwa inatoa msaada mkubwa sana kwa
watanzania kupitia miss tanzania na miss tz sio siri miss tz
imeadhirika sana baada ya kupigwa chini na vodacom…

ETI alaikuwa anajifanya ana save spending ya kampuni,
mfyuu kumbe ana dunduliza aibe nyingi zaidi..

Hayo hapo juu chamtoto babake, guess what else he did.

Akaanza kuwapangua waafanyakazi sasa, mabosi waliokuwa
sehemu zenye pesa kama marketing hivi wakapigwa chini
shogangu mmoja alikuwa marketing manager, akapiga chiniiiiii
mbayaaaaaa jamani bila sababu maalum, sasa tukajua okay
labda analeta watu wa maaana kutoka nchi za nje labda analeta wazungu, hahahahha,
uwiiiii kaletkumbe kaenda kumleta mbongo tena mmoja wa vijana wake alioiba nao

TIGOOOOOOOOOOO , imagine marketing manager alietolewa ana
MASTERS at that time time katolewa for someone with less education sasa,
Uwiiiiiiiiii tulikaaaaa chini kwanza kwa butwaa, na kila kitu alichokuwa
annafanya kilikuwa kinakuwa signed off na hawa
board of directors kina hao kina Lowassa sijui nani….

Alafu sasa kwani unadhani huyo marketing manager
alietolewa ni kwamba alishushwa cheo hapana aliambiwa
akatafute tu department ingine akawe manager, na bosi mkubwa
kabisa wa marketing I think alikuwaga yule dada (sitaki mtaja jina kwenye story kama hizi)
kama mnakumbuka vizuri na yeye akatolewaaaaaaa
akahamisshiwa department isiyohusiana na mahela…
hahahhahahaha,yule baba ni noma nyieeeeeee,
alafu nafasi ya huyo dada akampa a none Tanzanian jamaaa mwingine ambae
Renee alishapiga nae dili in another country kama hili nchi ingine……

Jamani in short RENEE ni CEO wa upigaji basiii na
wanaompa kazi wanakuwa wanajua kabisa RENEE anaenda pale kufanya nini…..

Yani ni hivi walimleta Reneee specifically apige dili
kama alilopiga TIGO…hahhahahahahhahah

Hii article inamuongelea Renee as if na yeye alikuta hili dili
linapigwa, nope si mmeona wamesema dili limeanza 2012,
thats the yr RENEE kaanza kazi jamani RENEE alijipanga nyie,
alitaka wafanyaka close to him wawe ni watu ambao ameshaiba
nao before basiiiii, hatakiwa watu wapyaaa…hahahahh

Hivi mnajua kwamba siku ya kwanza Renee anaingia Vodacom
watu kibao tunachekaaa maaana kila mtu anajua Reneee anapiga dili

na alivyowaleta watu wake kutoka TIGO ndo ikawa kituko sasa….
sasa jiulzie ni nchi gani MD aliepata scandal anarudi tena kazini tena sama country…
Huyu FRED LOWASSA SI MTOTO WA LOWASSA HUYU???

MFYUUUU…

Yani kidogo nidanganyike niingie TEAM LOWASSA ila hapana
jamani huyu baba kila uwizi wa mapesa makubwa makubwa last name yake haikosekani jamani……

Hapanaaaaaa na hiyo kampuni si ya kwake ila mwanae ndo kawekwa kichwa hapo?
CCM mmebakiwa na Mwakiyembe sijui na Magufuli yani this time CCM sijui watamsimamisha nani jamani

majangaaaaaaaaa

Ila jamani yote tisa kumi this is too funny for me jamani,
hivi mnajuwa kuwa 3 yrs ago some of us tulikuwa tunasema
kabisa hili dili linapigwa sasa hiiv na limepigwa…. Kha!! alafu mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeee…

BONGO NOMAAAA,

Alafu mnaojua vizuri hizi pesa zimepigwajwe embu tupeni story
basi, maana wengine hatujua hizo card za simu zinafanywaje hahahah
 
Huyu kapersonalize sana issue,,mtu ambaye Rene kamleta pale marketing na alikuwa Tigo ni Twisa na vile vile anareport kwa mmama Fulani wa kicanada nadhani!!ok Twisa Hana elimu sana but marketing acumen anayo vizuri tu na hata anazo historical number ya kumbackup.

Ok issue nyingine Mange anaichanganya Alphatel from Freddy lowasa was not indicted on Vodacom report ambayo ilimpoint Tanil na Shivacom hasa na sababu kubwa sio defraudlent distribution of jelo (pamoja kwamba ilikiwepo) bali ni Shivacom was becoming too big to control ambayo kiukweli kibiashara Vodacom kwao ilikuwa ngumu sana kucontrol na bwana huyu mparaguay alipopata upenyo wa hiyo fraud akaamua kumterminate Tanil na hapo ndipo vumbi likatoka hadi SA huko.

But tujiulize was financial metrics achieved under Rene (jibu ni yes especially in 2012 on ebdta ktk kukata opex "hizo ambazo bimdada analalamika " ,2013 double digits on revenue ,subs and healthy ebidta still, tatizo limeanza hasa 2014 ambapo even though walikuwa subs on revenue hawakuperfom vizuri sana compare to previous year and even wapinzani wake wameanza kulipunguza GAP sana) na hii imemfanya bwana Rene nyota kuanza kufifia ambapo akafanya uamuzi poa tu wa kwenda Ooredoo.

Huyu jamaa mpigaji inawezekana lakini almost wengi maCEO ni wapigaji pia kwani huyo previous CEO wa Voda si alipiga sana na wakaburu wenzake na bidada Mwamvita hizo sponsoring zote budget kubwa kinachotolewa less(kuanzia miss Tz hadi yatch club) .

Mwisho inawezekana Jamaa alipiga "ambapo hiyo whistleblower report nayo ina flaws kibao" sema Mange should not personalize it ,,yaani kama marafiki zake wangekuwa bado wapo inamaanisha asingesema hata kidogo hii.
 
Huyu mange siku hizi hapewi pesa ya kununua makeup na huyo anayesema aliamishwa toka tigo yaani ex wake, yaani amekuwa anajigonga kila akienda tz naona now amechuniwa esp tangu mkaka aoe.

Mambo naona sijui yakoje kwake kuandika hivi, juzi mlileta ya Makambas, leo ya ex wake kuhusika na another Makamba ex shosti naona ndio alikuwa anampa story za kazini now kazimwaga kuanzia hayo ya juu kajitahidi kubania ila katoa picha kuwa shosti wa zamani Mwamvita ndio alimsumulia mengi.

Nae mange alikuwa anakula vya bure ukianzia picha walizokuwa wakirusha za expensive life ya kula kula mahoteli makubwa expensive drinks bill inalipiwa na vodacom..siku hizi hana ndio anakumbuka wezi, na yeye alikuwa anaibiwa. Kumbukeni hata ile kutangazia vodacom hana tena, ila alipewa tu kiushkaji nae ale pesa, blog ya matusi na udaku.

Sasa baada na yeye ya kula na now kupigwa chini hawampi uroda wa pesa na misaada anaamua kuandika story ndefu ambayo hajaikamilisha.

Kaamua kumchoresha mkaka aliyemuacha zamani, ex shosti, na ex mgr utadhani gari ndio kazi waliuziwa angenunua, sasa kama hakupendwa ndio nini imagine angeoa mshinda kutukana watu.
q
Haya watajiju wote, maana katumia Rene, Lowassa kurusha ataki ya kibinafsi na roho yake ifurahi.
 
Mange huwa yupo biased na anapersonalize sana vitu.
Vitu vingi anavoviongrlea huwa anaongea kwa kufata hisia zake na chuki zake..
Ana doublr standards na uchakubimbi wa hali ya juu ambao unashusha credibility yake.
Habari zake zimekaa kiumbeya umbeya na nia yake mara nyingi huwa ni kushambulia adui zake.
Character assassination kwake ndio silaha ya kwanza.Muda wote amekaa kama yupo vitani.
Kama ni kusifia atasifia vitu vyakr na vya Wema au team Wema tu.
 
Mange wakati anapata hela za voda alikuwa kimya leo wamemtosa sababu ya matusi ndio anayaleta haya hadharani, shida ya yule dada alidhani kuolewa na mzungu ndio mwisho wa matatizo mpaka akawa anawapa mbinu wafuasi wake jinsi ya kupata mzungu, kitu kizuri ni cha wema tu, wema alivyosema hapati ujauzito yeye kaanza kumtetea eti wema hawezi beba mimba za majanini anasubiri ndoa hilo ni tusi kwake pia mbona yeye alimzaa bhoke nje ya ndoa mtoto akijakuona haya ayafanyayo mamake si atajua hata yeye ni tusi kwa mamake? Yaani mange asingkuwa na Bhoke angesema mzungu ndio kambikiri, sijui why mwanamke anachuki vile.
 
Msameheni tuu huyo dada ana stress za maisha. Mzungu ashajua kuwa yeye ndio sababu ya huyo chakubimbi kuringa thats y anayomfanyia huyo dada mungu tuu anajua. Na akikataa huwa anatishiwa kuachwa fasta anakuwa mpole.

Huo mdomo unatoa maneno ya ovyo sababu umepitia vingi sana. Huo mdomo anaoujaza lipstick kila siku usiku uko katika NDUKUM ya mzungu anafanya Rim Job. Akija ktk mtandao majigambo kibao kumbe kulamba kinyesi ndiko kunako muweka mjini. Msameheni bure tuu
 
Picha zake ni anapigwa na mwanae kila wakati macho yanaenda chini kufata camera, labda akisoma sasa ataanza kumpa stool asimamie iwe kama vile mumewe amempiga.

Nimesikia mume hawaishi wote na pete kaacha kuvaa, anakuja kuangalia watoto na miili yao inaonyesha umbali wao.

Anajifurahisha na maneno kwa kweli labda analala vizuri akiandika mabaya na kushambulia.
 
Huyu kapersonalize sana issue,,mtu ambaye Rene kamleta pale marketing na alikuwa Tigo ni Twisa na vile vile anareport kwa mmama Fulani wa kicanada nadhani!!ok Twisa Hana elimu sana but marketing acumen anayo vizuri tu na hata anazo historical number ya kumbackup.

Ok issue nyingine Mange anaichanganya Alphatel from Freddy lowasa was not indicted on Vodacom report ambayo ilimpoint Tanil na Shivacom hasa na sababu kubwa sio defraudlent distribution of jelo (pamoja kwamba ilikiwepo) bali ni Shivacom was becoming too big to control ambayo kiukweli kibiashara Vodacom kwao ilikuwa ngumu sana kucontrol na bwana huyu mparaguay alipopata upenyo wa hiyo fraud akaamua kumterminate Tanil na hapo ndipo vumbi likatoka hadi SA huko.

But tujiulize was financial metrics achieved under Rene (jibu ni yes especially in 2012 on ebdta ktk kukata opex "hizo ambazo bimdada analalamika " ,2013 double digits on revenue ,subs and healthy ebidta still, tatizo limeanza hasa 2014 ambapo even though walikuwa subs on revenue hawakuperfom vizuri sana compare to previous year and even wapinzani wake wameanza kulipunguza GAP sana) na hii imemfanya bwana Rene nyota kuanza kufifia ambapo akafanya uamuzi poa tu wa kwenda Ooredoo.

Huyu jamaa mpigaji inawezekana lakini almost wengi maCEO ni wapigaji pia kwani huyo previous CEO wa Voda si alipiga sana na wakaburu wenzake na bidada Mwamvita hizo sponsoring zote budget kubwa kinachotolewa less(kuanzia miss Tz hadi yatch club) .

Mwisho inawezekana Jamaa alipiga "ambapo hiyo whistleblower report nayo ina flaws kibao" sema Mange should not personalize it ,,yaani kama marafiki zake wangekuwa bado wapo inamaanisha asingesema hata kidogo hii.

https://255whistleblower.wordpress.com/2015/05/07/vodacom-tanzania-md-rene-meza-resigns-over-350-million-scandal/

Soma hiyo kwanza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom