Mange Kimambi afunguka kuhusu Ufisadi wa Vodacom

Mange Kimambi afunguka kuhusu Ufisadi wa Vodacom

Status
Not open for further replies.
I'm trying to separate personal issues against hard facts.
Mange may have her own flaws as any other human being, but I give her tons of credits for voicing her concerns over the scourge of grand corruption that is eating this nation alive.

That is very true, unfortunately most Tanzanians can't see that
 
https://255whistleblower.wordpress.com/2015/05/07/vodacom-tanzania-md-rene-meza-resigns-over-350-million-scandal/

Soma hiyo kwanza

Mkuu nilishasoma na ndio maana kuna walakini kidizaini kwenye hiyo whistleblower report
 
Hao unawaona wa maana kwenye macho yako, sababu hivyo ndio unavyowachukulia ila kila mtu ana yake. Wabongo mnapennda kusifia ujinga. Mtu ana hela nyingi hazijulikani zilipotoka na kazi yake hailingani na kipato chake lazima uhoji. Ila watanzania wengi kwa kuwa hamjui wajibu wenu uwa msingi wala haki zenu mnaanza kumsifia huku mnanyonywa nchini mwenu ns vizazi vyenu vinaishia kuwa masikini milele na wajanja wachache wanatajirika. Watu waelewa wachache km kina Mange wakihoji mnawaona manafki, wanachuki na majina mengi mnawaita.

Hivi mnafikiri kwanini nchi za wenzetu zimeendelea km watu awahoji serikali na km hawapigi kelele kwenye rushwa kubwa kubwa hivi.

Km hii serikali ingekuwa strong enough na wananchi wanajielewa hii hela nyingi mno hivyo imepotea si pangekuwa hapatoshi. Hela hiyi ingetosha kulipia wanafunzi wa vyuo vikuu wanaogoma kuingia madarasani ciz hawajalipwa posho, ingezibua mitaro ilosababisha mafuriko Dar es salaam yote na I gejenga nyumba mpya kwa wakazi wengi wasiokuw na makazi maalum.

Kabla ya kuanza personalattacks mngefuatilia hii issue na effects zake kwenye nchi na nsiani mngempongeza Msnge na mngemuita shujaa

hahahaaaaaahhaaaa wacha weee...!!
haya dada endelea kumtetea mie ngoja niandae notisi za j3
maana siku hizi BRN tunakomajee...
mi ya kwangu ndo hayo naongea nnachokiona...

uwe na jioni njema siku hizi naona shida kubishanashana ujinga tu
na nsharudi kuuza visheti darasani
martenity ishaisha
 
Jadilini mada achaneni na mtoa mada! Mnapigwa mchana kweupe halafu ndio mtu mnampigia debe awe rais wenu!

Hili ni jukwaa la celebrity hatujadili mada huku anajadiliwa mtu maarufu nje ndani. Mada za maana nenda jukwaa la siasa au habari mchanganyiko. Usiwanyime watu raha hivi ushamuona warumi au Dinazarde, geniveros , lara1 au nifah huko ktk majukwaa ya siasa. ?

Usiwanyime raha huku ni full umbeya full ubuyu. Haijadiliwi habari bali mtu. Kama unaona mada inafaa kujadiliwa we ikopi au omba mode aihamishe jukwaa. Otherwise piga kimya au tambaa
 
Last edited by a moderator:

aisee! sasa wewe unasema nisiwanyime watu uhuru! halafu unaniambia nipige kimya?!! sina uhuru wa kutoa maoni yangu? anyway im off.
 
Dinazarde na nifah mpo? Yani hii application inazingua sana, mkiona kimya mnaponitag jueni sion notification yeyote zaid ya kujua kuna mtu kanitag au kuni quote ila nikifungua sioni chochote, inaboa sana aseeh sijui nini tatizo, halafu akina Invisible hawasemi chochote kama kuna tatizo au nini wapo kimy tu
 
Last edited by a moderator:
Tusimjadili huyu Dada anaelala sebuleni kwa Dr Mwere Malecela
 
Km anasema facts lazima atetewe hata ww ungekuwa unasema cha maana ningekutetea.

Tatizo watu kusahau au kuwa na ushahidi na uhakika na akisemacho.Pia inawezekana alikuwa hajaisikia hiyo scandal au hakuwa na enough evidence hadi aamue kui publish.

Na hili ndio tofauti ya Mange na nyie wengi wenu humu Jamii Forum, yy anaingea kwa ushahidi na ndio mana hamumpendi nyie washabiki tuu.

Km Mange angesema bila ushahidi hiyo another case.

Kabla huja comment, uli google kuitafuta hiyo issue? Km kweki ipo ww km Mtanzania umejiandaa vipi kupigania hakI ya nchi yako?

Au ni responsibility ya Mange tuu kuwataja wala rushwa?Na ww kazi yako ni criticise chochote atakachofanya ili um put down.

Naona uko busy kunijazia maneno mdomoni, kama wewe mshabiki uamuzi wako

Narudia tena hiyo link ilishazunguka mitandaoni kwenye social media na hata humu ilishawekwaga, so sio mara ya kwanza watu kuiona, kama ametaka nyie musome ambao hamkujua ni uamuzi wake/wako.

Kila mtu anatoa awazayo, ila ukweli utake usitake angekuwa close na hao hadi leo asingeweka topic za Makambas na Vodacom etc
 
Dinazarde na nifah mpo? Yani hii application inazingua sana, mkiona kimya mnaponitag jueni sion notification yeyote zaid ya kujua kuna mtu kanitag au kuni quote ila nikifungua sioni chochote, inaboa sana aseeh sijui nini tatizo, halafu akina Invisible hawasemi chochote kama kuna tatizo au nini wapo kimy tu

Mbona mi iko poa weweee hebu tupa hako kamchina kako mfyuuuuhhhh
 
Last edited by a moderator:
alivyokua anapewa mamilioni mbona hakuongea
mnafki mtupu huyu hana lolotee...
amekulaaaa leo eti wizi...!!
sijui ana nafsi gani huyu dada
eeh MUNGU niepushe na roho mbaya km ya huyu dada mimi na kizazi changu

Mirija imekataa yani yuko alosto kuliko teja
 
Mbona mi iko poa weweee hebu tupa hako kamchina kako mfyuuuuhhhh

Naungana na warumi jamani hii ni too much sasa! Karibia inaisha wiki sasa sioni notification yoyote ile zaidi ya mtu akinitumia pm. Dinazarde kama kwako iko sawa hongera zako ila wenzio ni shida tupu hadi nakosa raha ya JF maana nimezoea Application kuliko website.
cc: Invisible
 
Heeeee poleniiiiii
 
exactly to mee
mpk kero yaani ni nkajua kwangu tu
 
Last edited by a moderator:
Utuonyeshe evidence kuwa Mange amenyimwa another contract na Vodacom, kuna any documents inaonyesha amenyimwa. Ww km mwalimu ulitaliwa uwe muelewa na sio kuwa shabiki na kurusha maneno tuu una dhalilisha walimu wenzio.

Mwenyewe anadai still ana contract nao, ameamua kusema coz amepataevidence ambayo ni link kuwa Reene Meza ame resign kwa ajili ya $350billion scandal.

$350 Billion?? Hakuna any Tanzanian company worth that.. Hizo ligi za kina Microsoft
 
Km anasema facts lazima atetewe hata ww ungekuwa unasema cha maana ningekutetea.

Tatizo watu kusahau au kuwa na ushahidi na uhakika na akisemacho.Pia inawezekana alikuwa hajaisikia hiyo scandal au hakuwa na enough evidence hadi aamue kui publish.

Na hili ndio tofauti ya Mange na nyie wengi wenu humu Jamii Forum, yy anaingea kwa ushahidi na ndio mana hamumpendi nyie washabiki tuu.

Km Mange angesema bila ushahidi hiyo another case.

Kabla huja comment, uli google kuitafuta hiyo issue? Km kweki ipo ww km Mtanzania umejiandaa vipi kupigania hakI ya nchi yako?

Au ni responsibility ya Mange tuu kuwataja wala rushwa?Na ww kazi yako ni criticise chochote atakachofanya ili um put down.

Hiyo habari imeshaletwa na kujadiliwa kitambo sana hapa JF, sioni kwa nini kwako imekuwa mpya kwa sababu Mange ameikopi paste. Au wewe ndio wale ambao JF mko kwenye jukwaa hili tu mengine hamsomi? Mjadala huu hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...tolen-from-tanzanians-in-vodacom-scandal.html
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom