Kwa hiyo unasemaje kuhusu Naibu waziri wa afya mpaka wakawa wajibishana kwa hoja hadi kigwangala akamuelewa na kumuhaidi atachukua hatu...hivi wewe siyo shoga kweli maana unavieliment vya ushoga kuwa na chuki na wanawake wenziyo!pasipo kuwa na sababu hebu sababu zakumchukia mange kuliko wenye vyeti fake na wanakuongoza punda wewe.Nae choko kama anamfuatilia Mange kama wanaume wote wanaomfatilia
Ni kamalaya flani hiviHivi Mange ni nani? namsikia sikia sana siku hizi
Nimeingia kwenye page yake nimekuta amewwka tangazo la Apps yake nikaenda Playstore nikakuta hiyo Apps ipo nimejisajili ila sasa inakubidi uwe na dollar moja kwa kuweza kupata subscription kwa mwezi nikaishia hapo labda hiyo ya tigo na mpesa ndo atatupata watanzania waliowengi ila kutumia visa au madtercard tunaogopa kukombwa vipesa vyetu!
Pia nimshauri picha aliyoiweka ike ya pink aibadilishe
Nanimeona pia mangekimambi daily ile amesema siyakwake.
Nimtakie kila la heri.
Watu wa ajabu wanapatikana wapi?
NimekumissAsate kwa taarifa
Kumbe Super women 2 ndio nani Mange Kimambi?Kumbe na wewe nu follower wa Mange mke ya mzungu!![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hapo ndipo utakapoelewa kuwa kinyesi hakina miiba lakini ukikikanyaga unachechemea.halafu wabongo mlivo MAJUHA mnajifanya hamumjui mnajifanya mnampotezea huku, lkn Instagram mna mfuata(following) sasa ya nn achezi ubambaz
Labda yeye ni dada uwezi jua.Inaonekana na wewe unamfuatilia maana usingemfahamu
Kwa maelezo yako wanawake wakoje vile.Samahani kukukwaza, natumaini wewe ni mwanamme uliokamili na unajitambua. Inakuwaje inafuatilia masuala ya changudoa asiye na faida na taifa na asiyejitambua? Mwanamme mwenzangu, uko sawa lakini? Jichunge usije ombwa kushikishwa ukuta, ohooooo, usiseme sijakuonya.
Hadi humu mpo ambao chanzo chenu cha habari mange? Kweli watanzania wengi viazi
Pia wabongo ni mabingwa wa kushadadia udaku ndiyo maana hata vijarida vya Shigongo vinauza sana kuliko magazeti ya maana.Mkuu watanzania wengi wanaongoza kwa unafiki, ndio maana ata viongozi wetu hawasemi ukweli nchi inapoenda, ila mimi nina uhakika wakiwa chumbani na wenza wao watakua wanaongea ukweli, wakitoka nje wanajidai everything is going OK
Kama zipi hizo sijawahi sikia chochote cha msingi kapatia zaidi ya udaku na umbea na mijitu mijinga inaamini. Mwanaume Lazima uwe chakula kumuelewa huyo demu
Naona ' njaa ' sasa imeanza kumtafuna huko aliko Los Angels nchini Marekani. Na ni kupitia hizi hizi ' njaa ' zake ndipo atakapowarahishia Kazi ' wanaomsaka ' na yawezekana Yeye anaweza kudhani labda sijui Mume wake kaamua kumpokonya Watoto wake ila kumbe nyuma ya pazia tayari ' Mafia ' wameshafanya yao ni suala la muda tu wanaweza kufanya yao. Dunia ya leo siyo ya ' Kujiamini ' na ' Kuamini ' Watu hivyo na uzuri au ubaya ni kwamba karibia 99% ya wanaofanikisha Wewe kupatwa na ' matatizo / majanga ' ni hao hao Marafiki zako / Watu wako wa karibu unaowaamini.
Hakika wafuasi 1.1m tena asilimia kubwa ni wabongo hata wanaomponda wamo au WAPO.Huu ndio ukweli. Hakuna ambaye yupo mtandaoni asimfatilie mange. Uwe ccm, uwe mpinzani, uwe huna chama, uwe mpenda umbea, uwe una mpenda, uwe humpendi.
Tunaamini sana ndio ,kama angekuwa anapost uongo mbona hamjitokezi kukanusha nyu.. Mbu nyie?Kama zipi hizo sijawahi sikia chochote cha msingi kapatia zaidi ya udaku na umbea na mijitu mijinga inaamini. Mwanaume Lazima uwe chakula kumuelewa huyo demu