Mange awalipua wauza unga


Wakakujibu nini?

CCM inakufanya uisome namba maana imekukaa rohoni, nnajuwa ni sababu ya kulelewa na bibiyo mzaa mama ambae ni CCM asili.
 
Wakakujibu nini?

CCM inakufanya uisome namba maana imekukaa rohoni, nnajuwa ni sababu ya kulelewa na bibiyo mzaa mama ambae ni CCM asili.
yaishe dada,asubuhi nje
Wakakujibu nini?

CCM inakufanya uisome namba maana imekukaa rohoni, nnajuwa ni sababu ya kulelewa na bibiyo mzaa mama ambae ni CCM asili.
ma.tunajenga nyumba moja kwa nini tugombee fito?asubuhi njema sana.
 
Ulianzishe wewe ujisute wewe.

Kwa watu kama wewe, Tanzania tuna safari ndefu sana.
Tatzo la wajinga wao ndio hujiona wajanja, kumbe bogus!! Kwahiyo kiswahili kitaendeleza Tz kivipi?
 
Ngoja siku moja Mange ashitakiwe. Maana ana kihere here huyu Mange
 
Huyu ya akina Makamba yalimshinda kaanza mengine.

Sasa nnahisi huko aliko yuko so bored na ana wehu wa aina fulani.

Hata kama ayasemayo yana ukweli basi bila ushahidi? Yaani utumbo aliouweka angeongezea na maini kidogo, nyama kidogo.
punguwani wahed


hivi huko shule ulienda kusomea ujinga??
 
Sidhani kama litafanyika lolote hata angeleta na ushahidi
 
Mange amemtukana Ritha Mlaki utadhani hajawahi kuwa na Wazazi
Siku moja ataacha haya matusi inasikitisha sana.Hivi unawezaje kutukana hivyo mtu mzima bola kufikiria impact yake....??Aisee Mungu yupo
 
Amfwate mstaafu alisema anamajina
 
Mange anaonekana mwehu ila walau ana roho ya ubinadam kuliko hawa wanasiasa wetu
 
Kukurahisishia,huyu ni dada wa mujini enzi hizo alikuwa anadeal na mambo ya mamiss,ni muke ya muzungu huko LA pia,mama wa watoto watatu,kada wa ccm pia etc etc wasifu wake tunaweza jaza page kwa uzuri na ubaya
Hapo kwenye ukada wa CCM mimi mmmmm!!!!!????? maana niliona clip moja akiichoma moto kadi yake ya CCM.
 

Suspect ni sehemu nzuri ya kianzia kutaguta ushahidi
 
Wanunuzi watuoneshe wauzaji blabla ctaki kusikia!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…