Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,441
Thank you brenda, make kila saa Mange Kabange kasema hivi, Mange kasema vile, ilikuwa inanipa maswali.Kukurahisishia,huyu ni dada wa mujini enzi hizo alikuwa anadeal na mambo ya mamiss,ni muke ya muzungu huko LA pia,mama wa watoto watatu,kada wa ccm pia etc etc wasifu wake tunaweza jaza page kwa uzuri na ubaya
kwani halili alikamatwa vipi?TatiZo utawashikaje?
halili watu walisema majungu bdae on the spot akatiwa mikononiHawawezi kuchukuliwa hatua bila kuwa na ushahidi wa kutosha mengine ni majungu mtu akikuchukia basi
Tatizo wamejifika kwenye lile chama la kijani, kwao business as ussualhao wanatajwa sana lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa
Upelelezi uanzie hapo, yeye katoa mwanga tu,labda tu nikuulize dada yangu hivi nchi hii yenye jeshi la polisi lenye inteligensia kali limeshindwa kuwakamata wale mateja waliotapakaa pale Manyanya Kinondoni na kuwalazimisha kutaja wanakochukulia madawa??????Huyu ya akina Makamba yalimshinda kaanza mengine.
Sasa nnahisi huko aliko yuko so bored na ana wehu wa aina fulani.
Hata kama ayasemayo yana ukweli basi bila ushahidi? Yaani utumbo aliouweka angeongezea na maini kidogo, nyama kidogo.
Hivi alibuma yeye au serikali yetu tukufuTangu Alivyo Buma Katika Sakata la Makamba,Nishampuuza Huyu Domokaya!
Watetezi wengi humu ni drug dealer wanatetea uchafu wao.Hivi unahitaji elimu gani ili kuwakamata wale mateja mwananyamala na kinondoni na kuwashughulikia hadi kuwataja wauzaji????? Majina ya IMPOTER ndo hayo kama mlikuwa hamuwajui basi liachieni jeshi la polisi lifanye kazi yake vinginevyo mtuambie nyie wale mateja wanayapata wapi au wanayavuna pale jangwani????Mange Kimambi on Instagram: “Chi chi chi chi Chidi Benz... I respect huyu msanii sana. Ni Mtu wa kujitolea, about 4 years ago nilikuwa na event ya Watoto yatima pale…”

Shida ya serikali hata watanzania waadilifu wakifichua wauza unga, majambazi serikali haitilii maanani mfano ni kwenye hii link hapa chini: Mange Kimambi on Instagram: “Chi chi chi chi Chidi Benz... I respect huyu msanii sana. Ni Mtu wa kujitolea, about 4 years ago nilikuwa na event ya Watoto yatima pale…” wametajwa watu maarufu wanaouza madawa ya kulevya wakiwamo viongozi wakubwa sana wa nchi.Je, inamaana TCRA, Polisi, Takukuru hakuna hata member mmoja hapa Jamiiforum??

Lets take it seriusly...kama mtanzania anathubutu kuwataza mapapa wauza unga kwanini vyombo vya sheria visichukue nafasi yake kuanza kuwachunguza/kiwachukulia hatua za kisheria????

Lets be seriusly people....
Ushahidi nenda vituo vya mabasi kinondoni uone mateja wanavyobembea au muulize Chid Benz atakuambia nani alikuwa anamuuziaA Tanzanian citizen, kwa hiyo ukiwa Tanzania citizen ndio ukawaandike watu mtandaoni ukiwapa tuhuma serious kama hizi bila maelezo yoyote ya ushahidi na watu wakuchukulie serious? watu hawajielewi, huyu ni wa kupuuzwa
Kama umekuwa ukifuatilia habari za uchunguzi, hata rumours huwa zinafanyiwa kazi kabla ya kuzi-discredit. Si sawa kudai aweke ushahidi mtandaoni maana wengine hatuhusiki na kesi hizo na hatutakuwa na msaada. Bora ungemshauri apeleke ushahidi kwa wanaohusika na uchunguzi, japo pia inaweza kuwa hatari kwake maana hao wanaotajwa kuhusika wanawezakuwa na connection na vyombo vya sheria, akajikuta akiwa kwenye frame-up. Maana hata mkuu wa kaya wa zamani alipata kusema anayo orodha ya wahusika wooote, lakini hatukusikia kama kuna waliochukuliwa hatua zaidi ya kuendelea kusikia akilalamika wakati ameshadai anawafahamu. Otherwise, kwa wahusika wa kitengo cha 'unga' wamfuate huyo mtoa habari awasaidie kupata ushahidi au japo clues wapate pa kuanzia kama wanayo nia ya kufanya hivyo.kuwataja bila ushaidi ni sawa na kupga kelele tu umu..kama ana ushaidi auweke wazi watu tutajua kweli upi ila kwa hizi kelele mtu akikupga gap la maisha ghafla basi anauza unga hatuwezi fika..mm hayo majina siku zote nayaskia tu ila cjaona hatua zozote zaid naon ni kama wivu tu
Inaitwa homesickness.Huyu ya akina Makamba yalimshinda kaanza mengine.
Sasa nnahisi huko aliko yuko so bored na ana wehu wa aina fulani.
Hata kama ayasemayo yana ukweli basi bila ushahidi? Yaani utumbo aliouweka angeongezea na maini kidogo, nyama kidogo.
kwa io chidibwenzi ndo anapona ivi lol[emoji5] [emoji5]Boss ni kama dr anayetoa dawa then customer ni kama mgonjwa anayehitaji dawa apone.