Mange anahatarisha ndoa za watu

Huyo Shehe amechukua mke wa kaka yangu, ni kweli kabisa, na Mange kasema hivyo hutaki niseme kama ni mkweli?

Mambo ya meli peleka huko..., we sema Shehe anazingua au la
Mimi sizungumzii shehe, mimi nazungumzia Mange in General na utaratibu wake wa kufikisha ujumbe ama kujifanya whistle blower.... Kwaio wewe unafurahia dadako kuwekwa picha halafu Mange kuandika kama shehe anakula tigo?
 
Wajinga ndio waliwao inasikitisha sana kuona watu wanaamini hizo story zake yani inasikitisha mm nikikutana na mtu anaeamini mambo ya yule dada aliyechanganyikiwa na maisha namdharau sana
Hata ukijaribu kuwaamsha akili zao basi bado hawatoamka na kuanza kukugeukia wewe.
 
Mimi sizungumzii shehe, mimi nazungumzia Mange in General na utaratibu wake wa kufikisha ujumbe ama kujifanya whistle blower.... Kwaio wewe unafurahia dadako kuwekwa picha halafu Mange kuandika kama shehe anakula tigo?
oooh hapo ndo tulipopishana, mi nlikuwa namzungumzia Shehe kumbe ww unamzungumzia Mange.

Je, Mange anasema ukweli? kama ni ukweli basi ujulikane.
 
Mimi sijawahi kumkubali shehe wowote wa Bakwata. Institute ya dini haianzishwi na Serikali, inaanzishwa na wenye dini, pia haijishuhulishi kwenye hizi siasa za uchadema na uccm, institute ya dini inatakiwa iwaongoza wafuasi wake, na mambo yake yawe wazi. Tushasikia kesi kibao za Bakwata mara sijui wameuza kiwanja wapi, halafu wafaidikaji ni wao.

Kwanza mie nliposikia huyo shehe wa bakwata anataka kujiingiza kwenye mabishano na Mange kwamba amzibe mdomo nimemtoa thamani. Watu wengine ni wa kuwapuuza tu. Hata huyo Mange nae alikuwa ampuuze tu huyo shehe.

Vipo vitu Mange anazungumzia ukweli, tatizo la mange ni kuwa na chuki ndio inamfanya mpaka ule ukweli sasa uwe na uongo wake. Tatizo lake jengine, ni verification of the source, si mimi na wewe tufanye verification, yeye mwenyewe verification ni ipi?. Mfano hata wewe unaweza kumtunga story mbaya kuhusu Magu au Makonda, ukajifanya wewe witness, trust me, hio habari uliompa ataipost ukimwambia ficha id. Jaribu utakuja kunihadithia mwenyewe.

Halafu Akiba ya maneno nae haweki :D
 
Naona tunaanza kwenda sawa sasa.

matusi na kutokuwa na akiba ya maneno hata mm siungi mkono kiviile.

source verification anafanya, trust me kuwa anafanya, ukitaka kuthibitisha hilo mjaribu na habari ya uwongo

Mengine lazima tukubaliane kuwa tunatofautiana.
 
Kisa kamzungumzia shehe Alihaji ndio umeamini kuwa mange mkweli... Mie nimethibitisha kuwa Mange ukimwambia akufiche id tu kisha tunga story inayomhusu mtu asiependwa na Mange basi ataipost.

Nilipokuja kushangaa nkaacha mdomo wazi ilikuwa meli ilokamatwa na Unga. Yeye mwenye kwenye post amesema imekamatwa huko nje mnamo tarehe 25 disemba. Kuna mdau akamtumia picha akawa ndio anamsapoti Mange na kumuonesha kuwa meli hio tarehe 29 ilikuwepo Zanzibar :D :D nafungua comment hakuna mtu alohoji ukweli wa hio picha nikajua watu ni vichwa mchungwa. Ndio maana CCM itaendelea kuwaongoza. Yaani wachangiaji wote wameshindwa kujiuliza meli ilokamatwa tareh 25 ulaya, tena ya container, ndani ya siku 4 baada ya kukamatwa imeonekana Zanzibar (kina mange wanapodai kuwa imetoka na mzigo wa unga) kisha imerudi tena ilipokamatwa kwa ajili ya kukagyuliwa zaidi?

Ukweli hapa ndio nimemuelewa Mange, na pia nimewaelewa wafuasi wake ni watu wa aina gani.
Unajambajamba tu.
 
Kweli kabisa. Sio kila jambo la kupokea kama lilivyo, ndo maana tumepewa akili ya kufikiri. Hivi yeye au wewe au mimi tunaziaminije hizo sources zinazompa habari. Kuna mambo huwa ana post hazitii shaka hata kidogo ila hizi za hide my ID bila evidence za ku suport ngumu kuamini.
Kwani ni wapi umelazimishwa kuamini?
 
Naona tunaanza kwenda sawa sasa.

matusi na kutokuwa na akiba ya maneno hata mm siungi mkono kiviile.

source verification anafanya, trust me kuwa anafanya, ukitaka kuthibitisha hilo mjaribu na habari ya uwongo

Mengine lazima tukubaliane kuwa tunatofautiana.

How is she doing source verification? I am eager to know....
 
:D :D :D wanawake mna mambo kweli. Natizama post zake kujifurahisha nafsi, na kuwapima wafuasi wake ni watu wa akili gani. Mmoja wapo ni wewe ndio wale wale wasioweza kuhoji. Toa hoja sio vioja.....

Hujui Instagram Explore page inafanya kazi vipi?
Huna lolote nadhani umenielewa usiaminishe watu kuwa unasoma post zake kujifurahisha unasoma kwa sbb anakitu muhimu cha kuongezea katika akili yako ambayo inaamini kwamba watu ni malaika hawafanyi makosa. Anakuletea hoja na evidence pembeni. Wewe endelea kuwa mfuasi anonymus
 
Kitu muhimu kama kutwambia meli imekamatwa trh 25 lakini tarh 29 ilikuwa zenjy ikipakia unga :D :D :D

Usijali nimekuelewa kama nlivowaelewa wafuasi wake wengine :)
 
Wee endelea kukanusha kama wafuasi wake wengine
 
Kwani ni wapi umelazimishwa kuamini?
Sajalazimishwa kuamini. Changamoto ni kwa wale wanao amini kila anacho post kuwa ni kweli, ni hatari sana kuaminishwa kila kitu na mtu akaamini tu bila kuongeza na akili yake ili kuchambua anachoambiwa.
 
Wao wakiamini wewe inakugharimu nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom