Mange anadai tar 29/10 askari na wanajeshi wengi walikufa

Yohimbe bark

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2019
Posts
2,843
Reaction score
7,250
Habari wakuu. Dada wa taifa anadai tar 29/10 siku ya uchaguzi askari na wanajeshi walikua wanauwana wenyewe kwa wenyewe na walikufa wengi tuu, swali ninalojiuliza mbona hatujaona hata picha au video hata moja ya askari au mwanajeshi kafa???? Btw namuamini Mange kimambi.
 
Hilo alina ubishi kwamba walikufa lakini si lazima itafutwe mbinu ya kutunza information.
 
Back
Top Bottom