ww upo kama mm....sina team...ila ana akili..mengine kila mtu na udhaifu wake
Wewe mdada uko wapi??? Ukuje inbox basi,,Hupatikani kabisa
ww upo kama mm....sina team...ila ana akili..mengine kila mtu na udhaifu wake
Hahhaa mie nipo..mambo mengi tu..haya najaWewe mdada uko wapi??? Ukuje inbox basi,,Hupatikani kabisa
Ana vyanzo vya habari vya uhakika na akiona amekosea anafuta fastaaHabari za Mange huwa zinakuwa kweli 98%...!! Huyu manzi ni balaaaa![]()