Miss Zomboko JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 4,618 Reaction score 9,607 Aug 25, 2016 #1 Mkali wa 'Singeli' Manfongo amesema muziki anaofanya umemkomboa kwani alikuwa 'mkabaji' siku za nyuma. Naona kaamua kuchagua fungu jema kabla ya zile siku 40 za kuvishwa tairi na kupigwa na matofali hazijamfikia. SOURCE;EATV Twitter
Mkali wa 'Singeli' Manfongo amesema muziki anaofanya umemkomboa kwani alikuwa 'mkabaji' siku za nyuma. Naona kaamua kuchagua fungu jema kabla ya zile siku 40 za kuvishwa tairi na kupigwa na matofali hazijamfikia. SOURCE;EATV Twitter
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,155 Reaction score 137,168 Aug 25, 2016 #2 Huyo naye alikuwa anamkaba nani? Labda wachuchu ndo alikuwa anawaonea!
mkwepu jr JF-Expert Member Joined Apr 20, 2014 Posts 558 Reaction score 1,028 Aug 25, 2016 #3 Ila anaonekana bado hajaacha kutumia kijiti
SniperBoi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2016 Posts 1,103 Reaction score 1,131 Aug 25, 2016 #4 sasa hiyo tabia kaiacha asije akawa anawaibia wasanii wenzake
brigedia mafia JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 2,260 Reaction score 2,279 Aug 25, 2016 #5 ila inaonekana ni kweli maana hayo macho na mdomo inaonesha mtumiaji mzuri sana wa ngada
REDEEMER. JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 8,918 Reaction score 14,894 Aug 25, 2016 #6 Ndege tamu.
A Akade Joshua JF-Expert Member Joined Jul 9, 2016 Posts 262 Reaction score 200 Aug 25, 2016 #7 Juzi kasaini mkataba wa milioni 20 fiesta
brigedia mafia JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 2,260 Reaction score 2,279 Aug 25, 2016 #8 mwenyewe anakwambia "nga nga nga imetaiti kamba, mjinga hawezi kuelewa" huwa ananikosha sana na haka kamsemo
mwenyewe anakwambia "nga nga nga imetaiti kamba, mjinga hawezi kuelewa" huwa ananikosha sana na haka kamsemo
Rapherl JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 3,504 Reaction score 2,256 Aug 25, 2016 #9 Akade Joshua said: Juzi kasaini mkataba wa milioni 20 fiesta Click to expand... Clouds wakupe hela zote hizo?!.....wanaumwa!
Akade Joshua said: Juzi kasaini mkataba wa milioni 20 fiesta Click to expand... Clouds wakupe hela zote hizo?!.....wanaumwa!
A Akade Joshua JF-Expert Member Joined Jul 9, 2016 Posts 262 Reaction score 200 Aug 25, 2016 #10 Sasahivi Manifongo ana pesa chafu ana wazidi hadi watumishi wa umma wanaosubiri mpk mwisho wa mwezi..
Sasahivi Manifongo ana pesa chafu ana wazidi hadi watumishi wa umma wanaosubiri mpk mwisho wa mwezi..
Jamiix JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 950 Reaction score 677 Aug 25, 2016 #11 Hajawahi ingia Airport kabla ya hapo, sa hivi na pipa kakwea
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,006 Reaction score 72,305 Aug 25, 2016 #12 Anaonekana anavuta ganja,halaf mi nampenda msaga sumu yupo wapi mbona kimyaa "haya lowassa huyo ,kipenzi cha watu huyo napenda nyimbo zake
Anaonekana anavuta ganja,halaf mi nampenda msaga sumu yupo wapi mbona kimyaa "haya lowassa huyo ,kipenzi cha watu huyo napenda nyimbo zake
brigedia mafia JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 2,260 Reaction score 2,279 Aug 25, 2016 #13 mkwepu jr said: Ila anaonekana bado hajaacha kutumia kijiti Click to expand... hajaacha huyo si ndio mistari yao inapoanzia, alafu kampani yake kubwa wala ngada ww unategemea nn tena hapo
mkwepu jr said: Ila anaonekana bado hajaacha kutumia kijiti Click to expand... hajaacha huyo si ndio mistari yao inapoanzia, alafu kampani yake kubwa wala ngada ww unategemea nn tena hapo
Jamiix JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 950 Reaction score 677 Aug 25, 2016 #14 Apambane tuu, ila majigambo kwa nyimbo moja atakufa kibudu, nimemsikia akijigamba bongofleva wajitathmini upya atachukua mashabiki wao.... najiuliza nani atamfata apige nae kolabo!?
Apambane tuu, ila majigambo kwa nyimbo moja atakufa kibudu, nimemsikia akijigamba bongofleva wajitathmini upya atachukua mashabiki wao.... najiuliza nani atamfata apige nae kolabo!?
stwita JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 1,340 Reaction score 761 Aug 25, 2016 #15 Macho yake bado yamekaa kikabaji kabaji tu, kweli kaacha roba huyo?
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,584 Aug 25, 2016 #16 JAMAA WA MTAA HUYU KAKABA SANA HAPA MIGO NA AMEPONEA KUCHOMWA MOTO
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,584 Aug 25, 2016 #17 SAHZ ANATOKA NA SHILOLE
femalepilot JF-Expert Member Joined Apr 8, 2014 Posts 258 Reaction score 118 Aug 25, 2016 #18 Angenikaba mimi kipindi hicho afu ningemjua ni yeye, na mimi ningemrudishia sasa hivi.
Scorpio Me JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 6,119 Reaction score 7,950 Aug 25, 2016 #19 stwita said: Macho yake bado yamekaa kikabaji kabaji tu, kweli kaacha roba huyo? Click to expand...
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,936 Reaction score 8,345 Aug 25, 2016 #20 ila mwambieni aimbe nyimbo nzuri sio anachochea watu kumega mashemela zao