bishankara
Senior Member
- Feb 21, 2012
- 140
- 8
Naomba wadau tujadili haya mambo mawili juu ya madada/mama zetu wa kada ya unesi. 1. Ni kwa nini familia nyingi sana ambazo mama ni nesi walishatengana na waume zao? (kutokana na uchunguzi mdogo kwa familia ninazozifahamu na hata taarifa kutoka kwa watu wa karibu na familia kama hizo) 2. Kwa nini madada waliopo katika kada hii wanachelewa kuolewa? (pia hii ni kutokana na mm kuona mwenyewe kwa wahusika wengi? Nawasilisha kwa michango yenu wadau.