Maneno yetu ya kiswahili

Maneno yetu ya kiswahili

Mateka

Senior Member
Joined
May 2, 2011
Posts
131
Reaction score
41
Kuna baadhi ya maneno yana maana nzuri tu lakini ukikosea kujielezea watu wanaweza wakafikiria vingine kabisa.
1.Kumega
2.kugonga
3.Mhogo
4.Kukojoa
5.Kiburudisho
6.Jogoo
7......
8.......
.............

Tuwe makini jamani tunapoyatumia
 
Kizazi hiki cha nyoka ndo kinasababisha yote haya
 
kunyonya, kukanyaga, kung'ata, kupakua, kufinya, kukata,
 
kusukumwa nyuma, mkatiane chungwa,kupigA TIGO.
 
napita tuu Wakuu maana maneno hayo yana relat na Maisha yangu katika lugha.
 
Kupigwa au kupiga kipara, chumvini au uvinza,handaki,kukwanguliwa,kukunwa,nnya,bata,ringi yani dah!
 
maharage ya mbeya
kupakuliwa
kushushwa
 
Back
Top Bottom