Kama Taifa tumefikia hatua mbaya ni Kama vile hatuna kiongozi kwa huyo kila mtu anajikuta kambale wanaongea chochote wanachojisikia.
Hawa wanajiita waadhiri wa kiislamu kwa kweli kauli walizotoa si za kiungwana zinahamasisha machafuko ya kidini na mgawanyo wa kijamii lakini hakuna hatua wazochukuliwa Wala hawajapewa kesi ya uhaini na police Kama tulivyozoea na machawa usikii wakizungumza hili ni kwasababu ina maslahi ya CCM.
Kwa namna hii tunajenga Taifa la namna gani? Na huwezi kusikia watu Kama hawa wakitekwa, tukisema serikali ndio inahussika na utekaji machawa wao wanakuja juu, tukisema polisi ni washirika wa CCM tutakuwa tumekosea?
Mbona wanatoa kauli mbaya zenye Nia mbovu zenye mlengo wa kusifia serikali mbona hatua za kisheria hawachukuliwi?Na usikii tamko lolote la serikali