Maneno yanayonikera siasa za CCM: uchochezi, uchonganishi, kutishia amani na uvunjifu wa amani

kama umekosa cha kuchangia ukae kimya tu, sasa hapo unataka kueleweshwa nini tena na kila kitu kilichoandikwa kiko wazi? Kama vipi ijengee hoja mwenyewe then uiandike tena!
 
Wadau,

Amani ya Tz aliyoienzi baba wa Taifa haipo tena.

Polisi walioapa kulianda raia na mali zao, wakiishi kwa mishara ya kodi zetu ..dio wanaongoza mashambuliz na mauaji ya raia wasio na hatia.

Viongoz walipewa dhamana ya kutuongoza, wamegeka kuwa za viongoz wa kupola rasimali zetu, kutunyanyasa,kutupiga na kutuua sababu tu tuna tofautiana nao kisiasa.

Tumeshuhudia wakala wa CHADEMA igunga (Bwana Masoudi) akipoteza maisha kwasababu za kisiasa, na wengine hawajulikani walipo..mpaka leo hakuna aliyekamatwa.

Tumeshuhida ndugu zetu wakiuwawa na pilisi kwenye migodi ya Norh Mara,Nyamongo n.k..mpaka leo hakuna aliyekamatwa.

Tumeshuhudia kiongoz wa CHADEMA Arusha akitekwa,kunyanyaswa na kumwagiwa tindikali...mpaka leo hakuna aliyekamatwa.

Tumeshuhudi watu mbali mbali walio mstari wa mbele kuttea haki na kutufumbua macho wakitaka kuwawa,kumwagiwa tindikali,kuwekewa sumu,kubambikizwa kesi nk..mfano Mh Mwakyembe, Sued kubenea, Mwibala,Gobless Lema,Mama Anenelia Ankya, n.k n.k

Na hii ya sasa inazidi kuvuka mipaka...viongoz wetu, wabunge wetu (Mh. Kiwia na Mh Machali)..wamekatwa mapanga, kiasi cha kutaka kuliwa mbele ya macho ya polisi. bila polisi kuchukua hatua zozote.

Pamoja na kuwekwa wazi kwamba kada wa UVCCM, Ahmed Mkilindi aliongoza uvamiz huo na anamjeruhi mkononi, na gari zilikuwepo eneo la tukiao ni namba T 377 ARF la mh. Kiwia, T 729 DAD la Mohamed Juma pamoja na T 397 ANU aina ya Land Cruiser ambalo mmiliki wake hakupatikana, (kwanini hakupatikana, Polisi inashindwaje kumpata/kumjua mmiliki siku zote hizo?)...lkn mpaka sasa hakuna hata mtuhumiwa mmoja alikemmatwa, japo kwa mahojiano tu.

Pamoja na matukio mengi tu kama haya yanaondelea mitaani kwetu, ambayo yanafichwa..JE NANI ATAFUATA? JE NANI YUPO SALAMA TZ, KAMA HATA VIONGOZ WANATAKA KUWAWA NA POLISI WANAANGALIA?

JE TUTAENDELEA KUISH HIVI, KTK NCHI YETU MPAKA LINI?

HAKIKA, HAUTAWEZA..NI VIGUMU KUVUMILA.KARIBU UVUMILIVU UTATUSHANDA... BORA KINUKE TUJUE TU!

Hii ni dalili ya utawala unaoanguka.
 
Wamekaa sana madarakani wamejisahau wanadhani ni utwawala wa kifalme!
 
Wadau,

Pamoja na matukio mengi tu kama haya yanaondelea mitaani kwetu, ambayo yanafichwa..JE NANI ATAFUATA? JE NANI YUPO SALAMA TZ, KAMA HATA VIONGOZ WANATAKA KUWAWA NA POLISI WANAANGALIA?

JE TUTAENDELEA KUISH HIVI, KTK NCHI YETU MPAKA LINI?

HAKIKA, HAUTAWEZA..NI VIGUMU KUVUMILA.KARIBU UVUMILIVU UTATUSHANDA... BORA KINUKE TUJUE TU!

Ndugu unajua unachokiomba kitokee? ... Bora kinuke?

... alafu wewe utakuwa wapi? - ndugu zako?! - wazazi wako? - watoto wako?!

Ingawa hali iliyopo siyo nzuri ... lakini hiyo kitu usiombe itokee hata kidogo kama unaipenda nchi yako.

Elimisha watanzania wengi waliokaribu na wewe juu ya umuhimu wa mabadiliko ili kufikia mwaka 2015 wawe wengi wa kuweza kuleta mabadiliko

Bado kuna nafasi ya kufanya mabadiliko kupitia sanduku la kura ... Na kulinda kura!

.
 
Ukitaka amani chagua CCM! Ni slogan ambayo imezoeleka, haswa kati ya jamii isiyo elimika, huko ndanindani vijijini, Ndio chama pekee kinachoweza kulinda amani! Ukichagua vyama vingine vitaleta vita tuu, oneni Rwanda na Burundi! chagua CCM kwa kulida amani yako na familia yako!

Hoja hiyo ni ya msingi kabisa kwenye chaguzi nyingi hapa nchini kwetu, sasa hoja ni amani na CCM, je mambo mengine kama, udhibiti wa wizi wa mali za uma,utowaji wa huduma muhimu kama dawa hospitalini, ujenzi wa barabara, n.k. lakini hizi naona siyo ya msingi, amani ndiyo ya msingi kwa ma-irritate, unajua ni kwa nini? Watu wa rular wanaogopa polisi kuliko kitu chochote.

Hivi vyama vingine vimekuwa vikishindwa,swali ni je vimeishawahi leta vita au dalili ya vita viliposhindwa? Je CCM wakishindwa kuna dalili ya uvunjifu wa amani? Na ni nani ambaye ataanzisha hizo fujo? Hebu tujaribu kutafakari kwa kina kama ni uvunjifu wa amani ya nchi hii ni nani ambaye ana dalili kuwa hapo baadaye atasababisha uvunjifu wa amani yetu.

Nawasilisha
 
'Amani na Utulivu' ni bidhaa ambazo ni miliki ya sisi Umma wa Tanzania na wala si maaali ya chama chochote cha siasa nchini wala hawana ubia katika hilo

Ndio, nasema hiviiiii,
'Amani na Utulivu' TUNAO SISI WENYEWE wananchi walipakodi inayohudumia majeshi yote nchini hivyo UTAPELI WA CCM na hii kauli potofu ukome mara moja.
 
Hiyo ndo janja yao, ndo maana eneo wanaloshinda wapinzani ccm huanza vurugu na kusahau amani wanayohubiri, mfano kukata mapanga wabunge wa mwanza! Wao amani sio kulinda rasilimali za taifa bali kupeleka twiga, tembo na faru ulaya na uarabuni. Ccm ni janga kwa sasa kwa taifa letu.
 
amani na utulivu??!! hao mapolisi wanaoua raia bila hatia...amani na utulivu??!! unapobambikiwa kesi mahakamani na unafungwa bila kosa lolote...amani na utulivu??!! aisee msinipandishe mizuka yangu ya kule kijijini kwetu...tuna amani maybe..utulivu mmh at the moment yes for how long i dont know...
 
Ukitaka amani chagua CCM! Ni slogan ambayo imezoeleka, haswa kati ya jamii isiyo elimika, huko ndanindani vijijini, Ndio chama pekee kinachoweza kulinda amani! Ukichagua vyama vingine vitaleta vita tuu, oneni Rwanda na Burundi! chagua CCM kwa kulida amani yako na familia yako!

Hoja hiyo ni ya msingi kabisa kwenye chaguzi nyingi hapa nchini kwetu, sasa hoja ni amani na CCM, je mambo mengine kama, udhibiti wa wizi wa mali za uma,utowaji wa huduma muhimu kama dawa hospitalini, ujenzi wa barabara, n.k. lakini hizi naona siyo ya msingi, amani ndiyo ya msingi kwa ma-irritate, unajua ni kwa nini? Watu wa rular wanaogopa polisi kuliko kitu chochote.

Hivi vyama vingine vimekuwa vikishindwa,swali ni je vimeishawahi leta vita au dalili ya vita viliposhindwa? Je CCM wakishindwa kuna dalili ya uvunjifu wa amani? Na ni nani ambaye ataanzisha hizo fujo? Hebu tujaribu kutafakari kwa kina kama ni uvunjifu wa amani ya nchi hii ni nani ambaye ana dalili kuwa hapo baadaye atasababisha uvunjifu wa amani yetu.

Nawasilisha

mkuu ulianza vizuri sna mwanzo but umemalizia vibaya thread yako, kuikosoa ccm ambacho ni chama kimekulea na mpaka leo hii unaijua JF ni makosa makubwa.
 
Kwa maana nyingine CCM wanasema "USIPOTUCHAGUA SISI HAKUTAKUWA NA AMANI" meaning CCM wataanzisha vita.
 
Ukitaka amani chagua CCM! Ni slogan ambayo imezoeleka, haswa kati ya jamii isiyo elimika, huko ndanindani vijijini, Ndio chama pekee kinachoweza kulinda amani! Ukichagua vyama vingine vitaleta vita tuu, oneni Rwanda na Burundi! chagua CCM kwa kulida amani yako na familia yako!

Hoja hiyo ni ya msingi kabisa kwenye chaguzi nyingi hapa nchini kwetu, sasa hoja ni amani na CCM, je mambo mengine kama, udhibiti wa wizi wa mali za uma,utowaji wa huduma muhimu kama dawa hospitalini, ujenzi wa barabara, n.k. lakini hizi naona siyo ya msingi, amani ndiyo ya msingi kwa ma-irritate, unajua ni kwa nini? Watu wa rular wanaogopa polisi kuliko kitu chochote.

Hivi vyama vingine vimekuwa vikishindwa,swali ni je vimeishawahi leta vita au dalili ya vita viliposhindwa? Je CCM wakishindwa kuna dalili ya uvunjifu wa amani? Na ni nani ambaye ataanzisha hizo fujo? Hebu tujaribu kutafakari kwa kina kama ni uvunjifu wa amani ya nchi hii ni nani ambaye ana dalili kuwa hapo baadaye atasababisha uvunjifu wa amani yetu.

Nawasilisha

Mimi sitaki nichague mwizi kwa sababu ya kudanganywa eti amani wakati siku hizi wanataka hadi kutoa roho za watoto wetu,Mimi naona ndo wanaohatarisha amani ya watanzania.

Hiki chama kimeoza kimekuwa cha kijasusi!
 
Amani maana yake ni Maendeleo.
Kama hakuna maendeleo hakuna amani. Wananchi wanatakiwa kuandaliwa kujua nini maana ya amani
 
kweli kabisa kaka mana CCM inakosa uwajibikaji na utekelezaji wa katiba ya chama. CCM imejikita zaidi kwenye kutetea ufisadi na kuwatetea wanajikita ufisadi na si matatizo ya watanzania mana sasa ni ali mpya, nguvu mpya na kasi mpya kwenye kulinda na kutetea mafisadi
 
Amani na utulivu ni hulka ya Mtanzania toka enzi za wakoloni.
 
Back
Top Bottom