Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,893
- 1,623
Ewe Mwenyezi Mungu mlinde Mama samia dhidi ya maadui
Mimi nadhani kwanza wananchi wote wafundishwe Kiingereza wakielewe vizuri ndio tuanze mchakato wa Katiba mpya 🙄🙄 😅😅😅Kuna wakati najiuliza kama kweli unajua na hata kuelewa kile unachoandika/unachoongea au ni mbwembwe zako tu. Ni elimu gani hasa unataka wananchi wapewe kuhusu Katiba mpya? Mbona unawatukana Watanzania/Watanganyika?
Ameen 🙏🙏Ewe Mwenyezi Mungu mlinde Mama samia dhidi ya maadui