Maneno ya Mchungaji Gwajima yanaanza kutimia

k-bee

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
910
992
Kuna clip ilitoka ikimwonyesha Mchungaji Gwajima akimtoa Makonda katika nyanda za siasa mpaka pale atakapokili kwamba yeye ni Albert bashite......Angalia umaarufu wake umechuja kama mvuke upoteavyo katika maj ya moto na hili la makontena linazdisha haya......Makonda ameanza kutapatapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda+makontena=MAKONDENA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watumishi wa kweli wa mungu maneno yao hayajawahi potea bure, Bashite lazima akiri kwa kinywa Chake mwenyewe la sivyo atasambaratika mpaka aokote makopo...

Sent using Jamii Forums mobile app

So we unamwona Mzee wa mipasho ndo mtumishi wa kweli Wa Mungu au mungu. Kweli Watz tumemixiwa na mawivu na chuki. Mchungaji hutangaza huruma na neema ya Mungu Sio kulaani. So jitahidi kuwa Unatafakari kwa kutumia kichwa.
 
Soma Mathayo 16:19....lililofunguliwa dunia na Mbingun limefunguliwa na lililofungwa duniani na Mbinguni limefungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila bado huenda kuna mkubwa nyuma ya pazia ngoja tuone

mwanza kwetu
 
Back
Top Bottom