Maneno ya Kiswahili yaliyotoholewa kutoka lugha mbalimbali

Kudemka sijui itakuwa imetoholewa kutoka kwenye lugha gani.
... ni kutoka lahaja za kiasili za kimwambao kuanzia pande za Lamu, Mombasa, Tanga, Pangani, Bagamoyo, hadi Kilwa bila kusahau Unguja na Pemba.
 
Baadhi ya maneno ulioainisha ni Kiarabu na si Kihindi kama ulivyoelezea.
... kihindi na kiarabu haviachani sana kwa baadhi ya maneno hadi matamshi. Uhindini (eneo lote la Western Everest hadi Eastern Iran; Afghanistan hadi Sri-Lanka) wamekuwa na muingiliano mkubwa sana kwa maelfu ya miaka na Bara Arabia kupitia Uajemi (Iran). That's why Arabic, Farsi, Hindi, Urdu, etc. zinafanana sana kimatamshi.
 
Tukisema hakijitoshelezi , Hata kingereza pia hakijitoshelezi, Wamekopa maneno mengi mno ya lugha za Kilatini na Kigiriki/ Kiyunani.
Lugha Ili iwe, misamiati inaundwa, au kukopwa / kuazimwa kutoka lugha nyengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…