Maneno ya kiswahili yaliyotoholewa kutoka lugha mbalimbali

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,527
2,000
Kijerumani,Schule_shule,skuli(kiswahili)

Kiingereza, School ni kama vile 'skuli' inatumuka zaidi Zanzibar.
 

SUKAH

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
975
1,000
KISWAHILI.
Hela -- German HELLA.
Lakini -- kihindi LAKIN
bunduki-- kihindi BANDUKI.
Basi--kihindi BASI.
Mushkeli-- kihindi MUSHKEL
Thamani-- kihindi THAMAN
Mahaba-- kihindi MOHABAT
Dunia -- kihindi DUNIA.
bahari-- kihindi BAHARI.
kubali-- kihindi KABUL
rejea-- kihindi AGEA.
Kismati-- kihindi KISMAT.
Kanuni--hindi KANOON.
wakati-- MULAKAT.
Tayari-- Hindi TAYARI.
bibi-- Hindi MKE.
Baadae-- kihindi BAADME.
Shukran-- Hindi SHUKRIE.
Gari-- Hindi GARI.
Pagawa--hindi PAGAL.
Pesa-- Hindi PESA.
Sura--suraj.
Asilimia kubwa ya maneno hapa yana asili ya kiarabu kuliko kihindi
 

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,527
2,000
Kizaramo, Uloto_uloto(kiswahili)

tafsiri kwa Kiingereza ni 'Bone - marrow'
 

Zero zone

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
1,467
2,000
Kiarabu,swalat_kiswahili,Swala.
Kiarabu,Alkhamisu_Kiswahili,Alhamisi.
Kiarabu,Aljumaa_Kiswahili,Ijumaa.
Kiarabu,Subuhi_Kiswahili,Asubuhi.
Kiarabu,Safarat_Kiswahili, Safari
 

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,527
2,000
Vichokochoko.
Vichokochoko
Vi~inaonyesha uwingi
Choko~ni tusi
Chokochoko, hapa imerudiwa mara mbili imeleta maana tofauti hili ni neno la kiswahili halijatoholewa.
Njia hii ya kurudia rudia ni njia mojawapo ya uundaji wa maneno
mf.mbali-mbali,taka-taka.
 

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,527
2,000
"mwandende, post: 39994048, member: 416548"]
KISWAHILI.
Hela -- German HELLA.☑️
Lakini -- kihindi LAKIN❎
bunduki-- kihindi BANDUKI.
Basi--kihindi BASI.☑️
Mushkeli-- kihindi MUSHKEL❎
Thamani-- kihindi THAMAN
Mahaba-- kihindi MOHABAT
Dunia -- kihindi DUNIA.☑️
bahari-- kihindi BAHARI.
kubali-- kihindi KABUL❎
rejea-- kihindi AGEA.
Kismati-- kihindi KISMAT.
Kanuni--hindi KANOON.☑️
wakati-- MULAKAT.
Tayari-- Hindi TAYARI.
bibi-- Hindi MKE.
Baadae-- kihindi BAADME.
Shukran-- Hindi SHUKRIE.☑️
Gari-- Hindi GARI.
Pagawa--hindi PAGAL.
Pesa-- Hindi PESA.☑️Peisa
Sura--suraj.
...
Kiarabu, walakin na sio kihindi.
Kiarabu Mushkeli sio kihindi.

Kiarabu Kabul
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom