Maneno ya Kiswahili yaliyotoholewa kutoka lugha mbalimbali

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,563
3,704
Kutohoa ni kitendo cha kuchukua baadhi ya maneno kutoka lugha za kigeni{lugha jirani}na kuongeza maneno hayo katika lugha kusika.

Matumizi ya meneno hayo yanaweza yakafanana kati ya kimaandishi au kimatamshi au vyote kwa pamoja.

Wabobezi wa lugha wanadai kiswahili hakijitoshelezi kwa kuwa imeiga maneno mengi kutoka lugha za kigeni.

Mfano; Kiingereza, Office_Ofisi, Kiswahili.
 
Dukani, njaa, maisha, shaghalabaghala, sita, saba, tisa, alkhamisi, ijumaa, sabato, karimu, riziki, mauti, hofu, Kiama, furaha, safari, damu.
 
Back
Top Bottom