X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,610
- 1,810
Hapa nimejitahidi kuandika baadhi ya maneno ambayo Lugha ya Kiswahili imeyatohowa na kuyatia kwenye msamihati wake.
Mnakaribishwa kuchangia maneno mengine ambayo, hapa hayapo, si lazima yawe kutoka Lugha za kimataifa hata yale maneno kutoka Lugha zetu za Kiasili, basi yanakaribishwa.
Vile vile utakuta baadhi ya maneno, yameingiliana zaidi ya lugha moja, kwa mfano neno Bahari, Dunia, Babu, na mengine machache Waarabu, Wahindi na Waajemi wanatumia hayo maneno kama tunavyo yatumia sisi.
Karibuni nyote wataalam wa Lugha tuchangie kile tunacho kijua ili wale wasiojua wapate kujua.