Maneno ya kejeli ya mume wangu

unasubiri nini???? ungekua umezaa nae ungekaa kulea mtoti timka utapata mwingne huenda ukazaa na mtoti ya mungu mengi.
 
Kuna vitu vingine tunamsumbua Mungu bure.

Kweli kabisa. sasa katika hali hiyo unamuomba Mungu afanyeje. Kimsingi Mungu alishajibu sala zako kwa kukuonesha vituko vya huyo mume wako, toka humo kimbia sana find happiness somewhere else.
 
To be honest jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza unapoombwa ushauri na mtu aliyekwenye maumivu makubwa na mateso kama haya unatakiwa kuwa na hekima unapojibu na sio kuendelea kumuumiza .wewe hunatofauti na mumuwe anaye mkashifu,jamani unaweza ukaona ni hadithi kwasababu hujawahi kushuhudia watuwako wa karibu wakikutana na changamoto za wanamme mabazazi kama huyo kiukweli hawa dada zetu wananyanyasika sana .
 

Dada hakuna lisilo shindikana chini ya jua.Nina face matatizo hama hayo sema mm ni mchumba.tuligombana nikaambulia maneno ya kejeli ambayo yananiuma mpak Leo.ikiwemo nilikuchumbia kwa huruma tu, ma ex wangu walikuwa bora,huna akili, yote nimepokea kwa mikono miwili na anataka kuvunja uchumba namtakia kila LA kheri.ila kinachonipa amani ni kusali na kufunga mungu anipe wa kufanana naye.kama wewe ni mkristo au muislam funga sali mwambie mungu kama huyo no mume aliyekupa bac ambadiloshe
 

Dada hakuna lisilo shindikana chini ya jua.Nina face matatizo hama hayo sema mm ni mchumba.tuligombana nikaambulia maneno ya kejeli ambayo yananiuma mpak Leo.ikiwemo nilikuchumbia kwa huruma tu, ma ex wangu walikuwa bora,huna akili, yote nimepokea kwa mikono miwili na anataka kuvunja uchumba namtakia kila LA kheri.ila kinachonipa amani ni kusali na kufunga mungu anipe wa kufanana naye.kama wewe ni mkristo au muislam funga sali mwambie mungu kama huyo no mume aliyekupa bac ambadilishe, kama siyo bac akupe wakufanana naye.pray
 
Dada sepa, i am speaking from my parents experience... mamangu aliolewa mwaka 83 mimi nikazaliwa mwaka 90 miaka yote 7 mamangu alivumilia matusi na kejeli za kila aina ila wen i was 3 enough was enough my dad alianza mletea wanawake ndani live eti mamangu awapishe wao wastarehe... 1 morning mamangu alinibeba mgongoni and we left bila nguo bila kitu chochote but she left..... i know she fought hard kunisomesha mpaka leo mimi nna kazi na wakati anaondoka kwa my dad hakua na kazi but as they say where there is a will there is a way. I look back na najiuliza wat if my mum asingeamua kuondoka maybe she would be dead coz ya depression na heart attacks but am grateful she is alive and she struggled. Men will always be men sometimes anakutukana una roho mbaya ndo maana huzai wakati anasahau yeye mwenyewe ana low sperm count. God has a purpose 4 everyone.... let him go and build ur life ukimtanguliza Mungu kwenye kila jambo. In the 7 years mamangu aliletewa watoto wa4 wa nje alee coz hazai na michepuko kila kukicha ipo mlangoni inamwimbia taarabu...... run and never look back.......... if he truly loved u he wouldnt treat u that way. Jenga maisha yako na umtumainie Mungu kamwe hatokuacha......
 

Asante sana ndugu yangu nadhani yana mwisho haya.Nashukuru kwa ushauri
 
Pole sana dada mshukuru sana Mungu amekuonyesha tabia halisi ya mchumba wako mapema
 
Asante sana ndugu yangu nadhani yana mwisho haya.Nashukuru kwa ushauri

Ni kweli mdada lakini kwa kisa chako nachelea kusema uaifanye huo ujinga wa kuondoka naona bado kuna room ya kuyazungumza na mwenzi wako jitahidi baadaye atapata ufahamu.
 
Ni kweli mdada lakini kwa kisa chako nachelea kusema uaifanye huo ujinga wa kuondoka naona bado kuna room ya kuyazungumza na mwenzi wako jitahidi baadaye atapata ufahamu.

Nakubaliana na wewe ila hakuna kitu kigumu kutatua tatizo huku mwenyewe hayuko tayari.
 
Babu unafikiri mungu anasumbuliwa na nini kwanini tusimsumbue kwa vitu kama hivi?
sabu vinaamulika kirahisi, hata akienda kwa kiongozi wake wa dini atamshauri kuwa aondoke kumbuka kuwa alishaonywa na wazazi akapumzika kwa mda ila ameendelea tena. ni bora uishi mwenyewe ila uwe na amani kwenye moyo kuliko kushambuliwa kila siku kwa weakness zako.
 
Msihangaike na pepo. Binadamu hawezi kuwa hivyo.
 
Mwanzoni alikuwaje? Au ndo ulifosi ndoa ? Pole lakini
 
hilo la ndoa uamuzi unao mwenyewe na its obvious jamaa hakupendi and the guy is lucky to have you. sie zikikamatwa msg za dia tu ugomvi mwaka mzima na sio kwamba unacheat. jamaa ana mchepuko wazi kabisa na analala nje bado upo nae. hilo tatizo linatibika na unaweza pata motto. waone gynaecologists bado una uwezo wa kupata mtoto
 
Mwanzoni alikuwaje? Au ndo ulifosi ndoa ? Pole lakini

Mwanzoni naona alikuwa anaficha makucha yake. Tatizo lilianza baada ya mwaka mmoja wa ndoa alipokutana na mchepuko wake wa kwanza. Wakati tunajenga alipokuwa anakuja site mwenyewe huo mchepuko ulikuwa unamletea chakula ndio maana huyo dada akahakikishiwa kwamba hajaoa na nyumba ikikamilika wangekuja kuishi wote. Huyo dada alishanitukana matusi yote ya nguoni mpaka zile msg nikazisave kwa muda mrefu tu. Ndio maana siku moja akaja kuhakikisha kama jamaa ameoa au la ndio akanikuta ndani
Mume wangu alikuwa ndani anakataa kutoka hadi yule dada anaondoka
Alinisimulia kila kitu bila kukicha juu ya mahusiano Yao.
 
mwambie aendelee kukuonea huruma kama alivyokuonea huruma kukuowa ili muishi pamoja kwa amani kama kweli anakuonea huruma
 
Duh! wanaume wengine ni ibilisi jamanii.
How dare umfanyie Mke wako hivi,hata Kama Ana mchepuko ndio alale nje,khaaa umeshindwa Ku fake hata safari ya cku mbili tatu hivi akarnjoy na huyo mlupo.
 
mh!!! ninavyojijua mimi! ningekuwa hata nilishasahaugi kuwa niliwahi kuolewa na huyo mtu! kha! kama kuna kitu siwezi vumilia duniani ni 'kudhalilishwa'. Yaan...dah! BWANA niepushe na jaribu kama hili, maana wanijua vyema kiumbe wako! loh

Ww kama mm... Siwezi kuvumilia kuonewa na kudharauliwa hivi.. Aii... We only live once
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…